Kwa hili CCM wanatuibia mchana kweupe

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Wana JF CCM kumiliki baadhi ya majengo na viwanja kama vya mpira ambavyo vilijengwa na wananchi kushirikiana na serikali iliyokuwa madarakani je ni halali?

MY TAKE;
Je ccm kusema ni vyake na kuwa na hati miliki je walitowa wapi pesa kipindi hicho mpaka kuwa na uwezo wa kumiliki ivyo vitu? Wazi wametuibia mali za wananchi kwa kujimilikisha wao.

Nawasilisha
 
wezi hao kama uwanja wa sheikh Amri beid mama yangu akiwa mwalimu wa shule ya msingi meru walitolewa kazini kwenda kushiriki ujenzi na walikatwa mshahara kuchangia ujenzi afu leo eti ni kwa faida ya ccm na sisi ambao wazazi wetu wali toil na sisi sio wafuasi wa ccm tutafaidikaje na jasho la wazee wetu ka sio unyonyaji
 
Wana JF CCM kumiliki baadhi ya majengo na viwanja kama vya mpira ambavyo vilijengwa na wananchi kushirikiana na serikali iliyokuwa madarakani je ni halali?

MY TAKE;
Je ccm kusema ni vyake na kuwa na hati miliki je walitowa wapi pesa kipindi hicho mpaka kuwa na uwezo wa kumiliki ivyo vitu? Wazi wametuibia mali za wananchi kwa kujimilikisha wao.

Nawasilisha

Mlaumuni mwalimu Nyerere aliyesema hizo ni mali za CCM !
 
madiwani wa moshi wameonyesha mfano wa kuzichukua na kuzifanya za serikali
 
madiwani wa moshi wameonyesha mfano wa kuzichukua na kuzifanya za serikali
kweli inabidi Mwanza, Arusha, Iringa na Mbeya katika miaka hii 5 wafanye bidii ya kurudisha baadhi ya vitu, naona hili suala hata mahakamani linaendeka wadau wakijipanga vizuri!
 
Tunataka majengo yetu, tunataka viwanja vyetu, ila ufisadi na uzandiki bakizeni muwarithishe vijana wenu wa UVCCM.
 
Hili la viwanja vya mpira (stadiums) limekaa vizuri tumeliongea mara nyingi sasa tufanye vitendo. CDM tuandalieni mkakati kabla ya 2015 virudi. An agenda worth your efforts.
 
Back
Top Bottom