Rais Kikwete akutana na ujumbe wa VodaCom; is it necessary for a press? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete akutana na ujumbe wa VodaCom; is it necessary for a press?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Mar 28, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ , Pieter Uys, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini.  [​IMG] [​IMG]

   
 2. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Strange mbona mafisadi wa hapa bongo hawapo?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  du..ikulu tiles za bafuni wao wameiwek kwenye ngazi za front view??? duh
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Inashangaza kwa Rais kujihusisha na haya Mambo; Mnakumbuka pia alihudhuria Airtel Inauguration Party? Airtel born from Zain na juzi juzi tu Kamat ya Zitto Kabwe inesema huo Mkataba umeikosesha Serikali ya TZ kiasi cha $300 Millions

  I believe using a President on this kind of way cause those companies to abuse the aggrements and ending up stealing!!!
   
 5. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hehehe hicho kidemu chake kipya au? hilo ndo la muhiimu nimeona hapo nichangie wakuu hakuna la maana kwa kuwa kuna waziri anaeshugulikia hayo maswala inakuwaje wanaenda moja kwa moja ikulu? Hawajui ikulu ni mahali patakatifu?
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndiyo hasara za kuwa na rais mswahili. Tuvumilie jamani imebaki miaka michache kabla ya kuachana nae.
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Usiniambie anachumbia binti wa Katibu mkuu wa chama?
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hawawezi kukosa, wamewakilishwa na hako kabinti kushoto kwa mkuu wa kaya
   
 9. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Hako kabinti si ni mwamvita ma-rope? Correct me if am wrong.
   
 10. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Huyo binti wa K/mkuu kumwegemea president ndio kumaanisha nini??
  Ameshindwa kusimama wima kama mabosi wake walivyosimama??

  Kwa ujumla picha namba 2 haikutoka vizuri utafikiri imepigwa na amateur!!!!!!
   
 11. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Huyo wa kushoto,picha ya pili mbona ni asenga,yule mwanzilishi wa wikileaks.,
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hao wazungu ni wajanja sana.
  Yaani wameenda na huyo Mtoto wa Makamba ili 'kurahisisha' mambo.
   
 13. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  huyo binti ni mtoto wa mzee makamba, na yupo pale kwa kazi maalum, shughuli zote znazohusu serikali yeye ndiye anayetumiwa na vodacom kufanya lobying, ndio maana vodacom hawakosi suport siku zote serikalini...lakini pia huyo mwanamke ambaye mume wake ni mzungu, ana mahusiano pia na huyo bosi wake vodacom na inajulikana wazi...ni kimeo balaa...kwa cheo chake yeye siye anayetakiwa aongozane na hao jamaa kwenda kumuona raisi..........hongera kwa mzee makamba, vijana wote wanakazi nzuri kwa kutumia nafasi yake...
   
 14. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Naona kama Mwamvita Makamba!!!
   
 15. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu kamekwisha muacha!!!
   
 16. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  yup.. Anamuwakilisha rosti tamu
   
 17. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  VODACOM is equal to ROSTAM azizi and ROISTAM azizi is equal to.......................
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kupata kakazi kakubwa hapo Vodacom lakini kwenye hii picha huyu mtoto wa Makamba kweli kamechemsha! Hawezi hata kuona watu wanavaaje kwenye kumechisha? Gauni ni Blue! Viatu ni Red wapi na wapi!
   
 19. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  mbona huyo mwamvita amevaa kimfumo-kristo,au watoto wa vigogo uislam huwa hauwahusu???mwasemaje maimamuz??
   
 20. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  du kumbe kana miguu midogo hivo utafikiri kamesimamia mikono!! my God
   
Loading...