Bunge letu na Muswada wa kudhibiti wachawi kwa faini ya Milion!

Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,813
11,123
Serikali inakusudia kupelaka muswada ktk kikao kijacho cha Bunge ili kuongeza adhabu kwa watu wanaokutwa na makosa ya uchawi, ikiwamo kutozwa faini ya Sh1 milioni na kifungo jela.

Akichangia maoni yake, Mbunge wa Singida Kusini, Tundu Lisu, ambaye kitaaluma ni mwanasheria, alionyesha shaka kipengele cha sheria ya uchawi, akisema kitakuwa na madhara makubwa, kwani kitamnyima haki mtuhumiwa ya kujieleza na kujikuta akitupwa jela na kulipa faini.

Source:Gazeti la Mwananchi(28 March,2011)

Maoni yangu:Kudhibiti wachawi ipo kwenye utekelezaji wa manifesto ya serikali ya CCM 2010-2015?Nini kipaumbele cha serikali yetu?
 
Back
Top Bottom