Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

……W’re polite and progressive by day, more tibalist than even the Kenyans by night….. Ukweli kama huu anaoweza kuusema Jenerali Ulimwengu ndio umewafanya watawala wengi kumwogopa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Utangulizi Hapa nataka kutoa summary ya mambo ya kuzingatiwa katika energy policy ya nchi, kama haya yamo kwenye policy yetu ya energy (If we have anyway) je kamati ya Bunge katika kuisimamia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MPANGO wa wamiliki wa kampuni ya Dowans kuizunguka serikali na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ili kujinufaisha kiuchumi umegundulika. Vyanzo vya habari vya gazeti hili vimesema Dowans...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumamosi nilikuwa mmoja wa watanzania wachache waliokwenda kuishangilia timu yetu ya taifa. Kama kawaida ya mechi za kimataifa, nyimbo za taifa hupigwa. Kilichonihuzunisha ni jinsi watanzania...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
……W’re polite and progressive by day, more tibalist than even the Kenyans by night….. Ukweli kama huu anaoweza kuusema Jenerali Ulimwengu ndio umewafanya watawala wengi kumwogopa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilifanya maandamano katika mikoa ya kanda ya Ziwa yaliyohudhuriwa na watu wengi. Hata hivyo maandamano yalipokelewa kwa hisia tofauti na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zilizolifikia gazeti hili jana zimeeleza kuwa muundo wa tume hiyo hautawashirikisha wabunge, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Madiwani wala kiongozi yeyote wa kisiasa. Tume hiyo...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Madiwani wa chadema arusha,wamekataa kuhudhuria ziara ya makamu wa rais Arusha,hii ni katika kutilia mkazo madai ya kurudiwa kwa uchaguzi wa eya
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mtoto wa mkulima asiyekuwa wa mkulima Bro Pinda amevunja ukimnya wa viongozi wa juu wa CCM baada ya kuwaomba wanaolumbana wafuate taratibu za chama... Amesema asiyependa kufuata utaratibu huo...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
MAAZIMIO YA BARAZA LA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM) MKOA WA ARUSHA – LONGIDO UTANGULIZI Kikao cha baraza la vijana la mkoa wa Arusha kilichokaa leo tarehe 28 Machi 2011, wilayani...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Ms. Beatrice Kiraso, EAC's Deputy Secretary- General in charge of Political Federation With more than 150 political parties registered in the five partner states, the East African Community...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SERIKALI wilayani Kwimba imesema kwamba, itawakamata na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria wanasiasa watakaotumia majukwa kuitukana, kufanya uchochezi na kuhatarisha amani. Akihutubia maelfu ya...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Nashangaa ninapoona wagonjwa wakinywa dawa ya babu kwa vikombe vya kijani! Hivi CDM tumeshindwa kutengeneza vikombe vyenye nembo yetu na rangi ya chama chetu na kuvipeleka kwa Babu kama msaada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF fuatilieni taarifa ya habari. --------- Amesema ataendelea kupambana na ufisadi pamoja na nchi kuwa na rasilimali za kutosha wananchi bado ni masikini- inakuaje watu 43mil...
3 Reactions
102 Replies
11K Views
WATAKIWA KUJIUNGA NA KUSIKILIZA SERA ZA CHADEMA na Stephano Mango, Songea VIJANA nchini wametakiwa kuhudhuria kwa wingi mikutano na maandamano yatakayoitishwa na Chama cha Maendeleo na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini CCM wako tayari kufanya chochote kubaki madarakani kwa gharama yeyote hata kwa kuiba kura pamoja na kutokubalika na wananchi wanaopiga kura. Hivi ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi: Hii ni stori kuu ya gazeti la Mwananchi la leo kuhusu malumbano ndani ya chama tawala. Hofu yangu ni kwamba CCM ni chama tawala ambacho kinapoteza umaarufu wake mbele ya umma kutokana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bado tumetawaliwa na UTUMWA wa KIFIKRA, kwamba HATUWEZI na VYETU HATUVITHAMINI! WAHENGA WALISEMA "UTU BUSARA, UJINGA HASARA' haikutosha wkaongeza "MDHARAU KWAO MTUMWA" Leo hii Mtanganyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi tujiulize swali hili maana kwa sasa linaonekana kuwa muhimu hasa baada ya kuonekana kwamba Chadema inakubalika kwa kasi sana hapa nchini -- hasa kwa vijana waliokata tamaa. Hivi kati ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali inakusudia kupelaka muswada ktk kikao kijacho cha Bunge ili kuongeza adhabu kwa watu wanaokutwa na makosa ya uchawi, ikiwamo kutozwa faini ya Sh1 milioni na kifungo jela. Akichangia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom