Rule prevents family members of the president from taking power or Running in Political office

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Kwenye katiba mpya lazima tuweke sheria Ndugu wa Rais atakayechaguliwa hawaruhusiwi kugombea Urais au Madaraka yoyote Nchini itasaidia Ubadhirifu usawa na ulafi wa Madaraka na Pesa.

Mtoto wa Karume kawa Rais na Mtoto Mwingine yuko tayari kugombea

Mfano Migongano na Mtoto wa Kikwete
Mfano Mtoto wa Mwinyi kusubiri Urais

Watoto wa Jumbe hawapo
Watoto wa Nyerere hawapo

We should stop this.
 
Back
Top Bottom