Migogoro ya ndani kwa ndani dhidi ya chama tawala

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya UVCCM Moshi Mjini na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Paul Makonda, amewavua nguo viongozi wa UVCCM Taifa na kuwataka wachuchumae kwa kujiuzulu ndani ya siku saba kwa kuigeuza jumuiya hiyo kuwa kijiwe cha kutukana na kukemea wazee ndani ya CCM kinyume na maadili na malezi ya Kiafrika na Kanuni za UVCCM.

Makonda, kada kinda anayejiamini kisomi, amewaomba radhi wazee wote ndani ya CCM kwa utovu wa nidhamu unaooneshwa na vijana wenzake ndani ya UVCCM ambao wamejenga tabia ya kuwarushia matusi na vitisho wazee kutokana na kulewa madaraka na kutetea ajenda za mafisadi.

Msimamo huo ameutoa leo jioni kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar na kuwaomba wazee wanyamaze, vijana waadilifu ndani ya UVCCM wapambane na mamluki hao wa mafisadi.
 
sija wahi kushuhumdia nchi ikiwa imekosa dira namna hii..kila sehemu matamko...kinachofata ni vitendo
 
HUYO KIJANA NIMEMWONA KIDOGO TU KWENYE ITV. NAMWOMBA MZEE MENGI AMPE KIPINDI MAALUM AWAPASHE SAWASAWA MAMLUKI HAO WA KINGUNGE! Wamemtukana Sumaye kwa kukopa sh. milioni 50 tu, huku wao wanampa mzee wa ufisadi Kingunge ulezi wa UVCCM Taifa huku wakijua kuwa Kingunge alipora miradi ya mabilioni bila kufuata utaratibu: miradi ya Kituo Kikuu cha Mabasi na Uegeshaji Magari jijini Dar. Wanamsema Sumaye wakati mfadhili wao ni fisadi nambari moja nchini, mmiliki wa Dowans (RA) na shoga yake (EL).
 
Hapo kwenye nyekundu sijakuelewa. Ina maana wapo chini ya ulinzi!! Any way, hiki chama sasa kinatoa harufu ya ufundo. Kimeoza. Watanzania tukitupe jalalani.
 
Umoja wa vijana uliokosa mwelekeo kama Wazazi wao Chama Cha Mafisadi!!!! Hivi hao viongozi wa UVCCM walifikiria nini walipoamua kuwashambulia wazee wao? Wanatafuta laana tu hao kwa kukumbatia mafisadi.

Tiba
 
sija wahi kushuhumdia nchi ikiwa imekosa dira namna hii..kila sehemu matamko...kinachofata ni vitendo

Kinachoumiza ni kuona ishu za msingi kama Katiba mpya,Dowans na nyingine zinafunikwa na matukio ya wanasiasa wapumbavu kama hao wa UVCCM.....nchi haina mwelekeo,kila kukicha ni story za uropokaji tu na fitna......nikiangalia mbele naona giza,manake kampeni zimeanza mapema sana na kwa namna ya kushtua na kushangaza:washing:
 
Tuache wapambane wenyewe kwa wenyewe...! Watasema kila uozo wao tuwapige vizuri 2015.
 
Kinachoumiza ni kuona ishu za msingi kama Katiba mpya,Dowans na nyingine zinafunikwa na matukio ya wanasiasa wapumbavu kama hao wa UVCCM.....nchi haina mwelekeo,kila kukicha ni story za uropokaji tu na fitna......nikiangalia mbele naona giza,manake kampeni zimeanza mapema sana na kwa namna ya kushtua na kushangaza:washing:

huu ni ushahidi kwamba ccm walishindwa uchaguzi uliopita. wanabaki kulaumiana, na kutafuta mchawi aliyewafanya washindwe, sema wanakwepa kusema jambo hilo, lakini ataibuka jasriri mmoja kutoka kwao hukohuko atakayesema kwa ushahidi.
 
wakati wao wakiendelea kutupiana maneno na kutukanana,sisi wengine tusishiriki kuicheza ngoma yao itatupoteza badala yake tuendelee kukoleza moto wa kudai katiba mpya,unafuu wa maisha,maslahi bora kwa wafanyakazi,masoko ya mazao yetu,huduma bora za jamii.pia tuendelee kupinga malipo ya dowans,kupanda kwa nauli na bei ya umeme ili wazidi kuchanganyikiwa
 
jk kama mrema kuleta mtafaruku kwenye vyama. mrema na jk wanafanana kiakili ndio maana wanapendana sana. udhaifu wa ccm unatokana na udhaifu wa mwenyekiti
 
Kauli yangu siku zote.....turudini kwenye hoja zenye manufaa kwa Taifa...Hayo malumbano ni deal tu,hao wakitoka hapo wanakusanyika pamoja na kupeana tano kwa kufanikiwa kutuyumbisha watanzania.....Kuna mwandishi mmoja aliwai kusema na namnukuu "TANZANIA HAINA VIPAUMBELE" baada ya kauli hii watu walimjibu kuwa si kweli kwamba Tanzania aina vipaumbele...sasa kwa hali hii inavyoendela vipaumbele vyetu ni vipi? Tuache waendelee na hayo malumbano hata kama yana faida kwetu,turudi tuone namna ya kudai katiba mpya,Umeme usio na shida nk......Going back to my roots...
 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya UVCCM Moshi Mjini na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Paul Makonda, amewavua nguo viongozi wa UVCCM Taifa na kuwataka wachuchumae kwa kujiuzulu ndani ya siku saba kwa kuigeuza jumuiya hiyo kuwa kijiwe cha kutukana na kukemea wazee ndani ya CCM kinyume na maadili na malezi ya Kiafrika na Kanuni za UVCCM.

Makonda, kada kinda anayejiamini kisomi, amewaomba radhi wazee wote ndani ya CCM kwa utovu wa nidhamu unaooneshwa na vijana wenzake ndani ya UVCCM ambao wamejenga tabia ya kuwarushia matusi na vitisho wazee kutokana na kulewa madaraka na kutetea ajenda za mafisadi.

Msimamo huo ameutoa leo jioni kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar na kuwaomba wazee wanyamaze, vijana waadilifu ndani ya UVCCM wapambane na mamluki hao wa mafisadi.

nimepapenda hapo..huyu mshkaji ana point.wanachofanya uvccm ni utovu wa nidhamu,hata kama ni siasa lakini kujibishana na wazee wenye umri kama baba zao,kwakweli ni kukosa maadili
 
HUYO KIJANA NIMEMWONA KIDOGO TU KWENYE ITV. NAMWOMBA MZEE MENGI AMPE KIPINDI MAALUM AWAPASHE SAWASAWA MAMLUKI HAO WA KINGUNGE! Wamemtukana Sumaye kwa kukopa sh. milioni 50 tu, huku wao wanampa mzee wa ufisadi Kingunge ulezi wa UVCCM Taifa huku wakijua kuwa Kingunge alipora miradi ya mabilioni bila kufuata utaratibu: miradi ya Kituo Kikuu cha Mabasi na Uegeshaji Magari jijini Dar. Wanamsema Sumaye wakati mfadhili wao ni fisadi nambari moja nchini, mmiliki wa Dowans (RA) na shoga yake (EL).

Hmmm :lol:
 
Hamna lolote hapo!

Nachojua ni kwamba wote wanao toa matamko hasa hao wanao jiita vijana wana njaa sasa hivi sana!

Baada ya chadema kuwanyang'anya ruzuku kwa kiwango kikubwa sasa hata mishahara sidhani kama wanapata ndo maana wanaanza kuongea!

Bubu akipigwa sana husema,huamini jaribu na mfano tosha ni njaa waliyo nayo makada,....kila mmoja anaropoka lao!

Na hayo ni majimbo 26 tu yamekombolew duh,ngojeeni tu
 
Hallow tumejisahau? Emu tuachane na hayo maduwanzi UVCCM. Em niulize lini maandamano yanakuja Arusha? Kiukweli life limekuwa taiti si kawaida! Dowans imefkia wapi?
 
Ukiona jambo linazungumziwa ujue Lina nafasi kwenye jamii. Hivi vyama vingine havina Umoja wa vijana? Tuache kulalama what matters here is CCM has strong structures you need to deal with in create your platform and structures otherwise it may take a while ...,,
 
Hii yote ni spining machine ya CCM......ilianza Loliondo sasa UVCCM.....Dowans kimya,hali mabaya ya uchumi kimya mpaka Mkullo amediriki kutukejeli kuwa kila mtu atakula kwa jasho lake.

UVCCM wanaropoka hamuoni kina Sofia Simba,Chiligati na Wassira wako kimya basi mjue yote hiyo kiini macho.
 
Back
Top Bottom