Hivi ni kwani CCM wanaogopa kuachia Madararaka?

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Wana JF

Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini CCM wako tayari kufanya chochote kubaki madarakani kwa gharama yeyote hata kwa kuiba kura pamoja na kutokubalika na wananchi wanaopiga kura. Hivi ni tamaa tuu ya madaraka au wanaogopa mambo mengi ya kitisha na udhalimu waliofanyautagundilika watakapo kuwa nje ya utawala?
 
Back
Top Bottom