FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Mjadala wa katiba kuhusu maudhui na muondo wa katiba utakuwa jumamosi'hii wote tunakaribshwa'
Kwani TBC iko kwa ajili ya nani. Ndo maana tido akaondolewa. huu ni ujinga, unaposikiliza the other side of the coin unapata akili. Hii ni nchi ya amani, tuhakikishe tunadumisha kila kitu kinachodumisha ufahamu wa raia. Serikali ni ya umma!:juggle: