Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Lissu ni mbunge mahiri sana tena utapenda competence yake pale kwenye mijadala ya sheria au haki za binadamu. Mswaada wa uendeshaji wa mahakama uliyopelekwa bungeni siku ya jumamosi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
ElBaradei Wants War Crimes Probe of Bush Team NEW YORK — The former chief U.N. nuclear inspector suggests in a new memoir that Bush administration officials should face international criminal...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
KATIBU Mkuu wa Baraza la Makanisa ya Pentekoste Tanzania (PCT), Askofu Dk. David Mwasota amesema Mungu amemvisha Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete joho la ufahamu na ujasiri...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Magharibi, Suluhu Ali Rashid leo amemtangaza mgombea wa CCM, Hamza Khamis Juma kuwa mshindi katika Uchaguzi huo kwa kupata kura 807 dhidi ya wagombea wa vyama vya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo katika ibada ya ijumaa kuuya moja wa madhehebu iliyofanyika katika uwanja wa shekh Abed jijini Arusha na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Isidori Shirima pia kulikuwa na viongozi...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Katika hali isiyo tarajiwa wananchi na wakazi wa BUSANDA wameanza kujuta kwa kumchagua mbunge wa BUSANDA kwa Ticket ya CCM,bi Lolensia Bukwimba. Maana tangu achaguliwe hajakanyanga tena Busanda...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Najua sasa hivi tupo kwenye kikao cha tatu tu cha Bunge na kwamba mpaka ikifika miaka mitano (2015) mengi yata jitokeza. baadhi yenu mnaweza kusema nimapema mno kutafakari wabunge gani mpaka sasa...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Dr pole kwa mapambano ya kulikomboa taifa hili. naomba nishauri kupitia jf nadhani ujumbe utakufikia. si jambo jipya lilishasemwa sana ila nataka kujua hatua iliyopigwa. tunashauri kuhusu kufungua...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi wake katika Bunge, yaani baada ya kuona kuwa watu wote nchi nzima hatuwezi kwenda Dodoma kujadili mambo yanayohusu maslai ya Taifa letu, tukaamua kuwatuma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Penda msipende kwa kijana yeyote aliye CCM au anayejiunga na CCM kwa sasa aidha ni kwa kwa maslahi fulani binafsi, au kapewa fulana au anaupungufu wa kufikiri kutokana na ujinga (ujasiri wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau nimesoma gazeti la mtanzania toleo la leo jumapili tarehe 27 february 2011 kuna makala isemayo siku za CCM zinahesabika,pia main headline inazungumzia anguko la pato la taifa kutokana...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Na Maggid Mjengwa, WAKONGO wa Kinshasa na kwengineko wanaujua wimbo huu; ”Papaa Mobutu ee, lokuta monene, oy'akanisaka, MPR ekokufaha, wayahaa, Tata Marechal, tikala libela, tata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Amepata ajali maeneo ya Same gari imepinduka yeye na wenzake wamesalimuka wamelazwa KCMC Source: breaking news ITV usiku huu
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Kitendo cha vyama vya siasa kushindwa kupeleka hesabu zao kukaguliwa kinaashiria nini ktk dunia ya uwazi na ukweli?Nilitegemea CCM na Chadema wangekuwa wa kwanza kupeleka hesabu zao.Chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dhana ya kujivua gamba ni mbaya kwa sababu nyoka anapojivu gamba huwa anakua kijana zaidi,hivyo anaongeza muda wa kuishi zaidi na anakua na uchu na hasira kuliko mwanzo,hawa waliojivua gamba ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na mapambano ya kulikomboa taifa hili mara ya pili kufikia mahali pazuri ningependa kumkumbusha/kumshauri amiri jeshi mkuu wa mageuzi dr Slaa afanye kikao kikubwa na wasanii wote wa nchi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi taaluma za watanzania huwa zinaheshimika? naona kila mahali wanasiasa ndo wameshika atamu, daktari bosi wake mbunge, enginia kwa diwani hakoi, hakimu naye hana pakupumulia, kuna taifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIBU kata wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wilaya ya Iringa Vijijini, Patrick Ng’ara (40), mkazi wa kijiji cha Ilandutwa, ameuawa kinyama kwa kucharangwa mapanga akiwa nje ya nyumba yake usiku wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
1.Electricity problem,should be solved immediately. 2.Poor management under CCM,Solve the problem of" UFISADI" 3.Poor infastructure esp in remote areas because in village is where agricultural...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…