Elections 2010 Busanda waanza kujuta na mbunge wao

BUSANDA FOR2015

New Member
Mar 20, 2011
4
0
Katika hali isiyo tarajiwa wananchi na wakazi wa BUSANDA wameanza kujuta kwa kumchagua mbunge wa BUSANDA kwa Ticket ya CCM,bi Lolensia Bukwimba. Maana tangu achaguliwe hajakanyanga tena Busanda. Bahati mbaya wengine tulijua maana haiwezekani m2 asiye hata na ndugu achilia mbali makazi jimboni humo akawa mwakilishi bora wa wananchi, bahati mbaya wananchi walihadaiwa na NGEREJA kuwa atawaletea umeme sasa matatizo yao yanazidi kuongezeka na mwakilishi wao tupo nae hapa MIKOCHENI anakula bata tu.......Hongera kwa kwa wakazi wa makao makuu ya Jimbo la Busanda(KATORO) kwa kumyima kura Rais,Mbunge na Diwani wa CCM.

Tafadhari Bukwimba Nenda Busanda wananchi wanakuhitaji,kumbuka miaka mi5 siyo mingi sana
 
Ukweli ni kwamba hajaenda hata kuwashukuru wapiga kura wake na kuwaeleza mikakati yake kwa jimbo lake
 
sasa wewe inakuuma nini. Shida yao ni kwenda kuwaona au kuwatekelezea na kutatua matatizo yao. Hebu pitia sheria za tanzania hususan za hawa wabunge sio lazima wakae kwenye jimbo lao mwenye ulazima wa kukaa kwenye ward yake ni diwani.

Acha uzuzu wewe
 
HM Hafif
Mkuu naona hata masijid leo haujatia mguu, tangu saa 11 asubuhi uko hapa jamvini,
nakuonea huruma sana rafiki, naona bado unafikiria mtanzania wa leo ni yule wa 1990s, kipindi hicho ukisikia mtu kamaliza chuo kikuu basi utashangaa,.

HM Hafif nimejaribu kufuatilia majibu yako ktk thread nyingi ulizojibu naona ni wewe na dini, dini na wewe, sijui kwa hili la mbunge wa busanda pia unaliingilia kivipi

HM Hafif dhibitisha kama CCM hawakulipi kwa siku ili uwatete hapa jamvini.

Na mwisho usisahau kuwa Tanzania hii ni yetu sote, hako kaujira kako mjukuu wako atakuja kujutia.
 
Yuko pale Malambamawili - Kimara, Dar es Salaam labda nipite pale leo jioni nimkumbushe kwamba wenye kiti chao bungeni wakupate wapi wanapowiwa na jambo lenye haja kukuona mbunge wao.
 
sasa wewe inakuuma nini. Shida yao ni kwenda kuwaona au kuwatekelezea na kutatua matatizo yao. Hebu pitia sheria za tanzania hususan za hawa wabunge sio lazima wakae kwenye jimbo lao mwenye ulazima wa kukaa kwenye ward yake ni diwani.

Acha uzuzu wewe

Huyu Laurensia Bukwimba s indiye alishikwa na presha wakti wa kampeni za Ubunge kule Busanda mpaka akapiga mweleka kama Rais wake Kiwete. Hivi yupo kweli nchi hii?? Maana hata hivi vikao vyote vya Bunge na hiki kilichomalizika juzi SIKUWAHI KUMSIKIA AKICHANGIA HOJA WALA KUULIZA SWALI!!!!!!!

Huyu Mbunge anaonekana ni boya kwa 100pc. Haya muyamalize wenyewe wana-Magamba ya nyoka!!!
 
HM Hafif
Mkuu naona hata masijid leo haujatia mguu, tangu saa 11 asubuhi uko hapa jamvini,
nakuonea huruma sana rafiki, naona bado unafikiria mtanzania wa leo ni yule wa 1990s, kipindi hicho ukisikia mtu kamaliza chuo kikuu basi utashangaa,.

HM Hafif nimejaribu kufuatilia majibu yako ktk thread nyingi ulizojibu naona ni wewe na dini, dini na wewe, sijui kwa hili la mbunge wa busanda pia unaliingilia kivipi

HM Hafif dhibitisha kama CCM hawakulipi kwa siku ili uwatete hapa jamvini.

Na mwisho usisahau kuwa Tanzania hii ni yetu sote, hako kaujira kako mjukuu wako atakuja kujutia.

Isaya mtoto wa Mwita hivi vya dini vimeingia kivipi vipi hapa na vina uhusiano gani na Lolensia Bukwimba?
 
Back
Top Bottom