Wabunge Nyota! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Nyota!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MwanaFalsafa1, Apr 22, 2011.

 1. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Najua sasa hivi tupo kwenye kikao cha tatu tu cha Bunge na kwamba mpaka ikifika miaka mitano (2015) mengi yata jitokeza. baadhi yenu mnaweza kusema nimapema mno kutafakari wabunge gani mpaka sasa wame jitokeza kama nyota wa Bunge ila kwa maoni yangu mpaka sasa ni hawa wawili.

  Zitto Kabwe- Mpende mchukie huyu bwana anajua kupanga hoja na una ona uwepo wake bungeni iwe positive au negative. Pia ameonyesha uelewa mzuri wa kanuni za Bunge (zaidi ya hata speaker) pale alipo mtetea mbunge mwenzio wa Chadema wiki iliyo pita.

  Halima Mdee- Mdada anae onyesha kwamba wanawake wanaweza bila upendeleo maalumu. Ana pangilia hoja vizuri na ana pick her fights vizuri.

  January Makamba- Najua wengi humu ndani wanaweza wasikualiane nae au hata kumpenda. Ila siyo siri ni mmoja wa vijana wanao sikika bungeni na ana jitahidi kadri iwezekanavyo uwepo wake Bungeni uonekane.

  Wale niliyo tegemea impact kubwa zaidi toka kwa Bungeni lakini mpaka sasa wame kuwa kimya:

  John Mnyika- Huyu jamaa siyo siri ana hulka ya kupendwa ila inaelekea approach yake ni ya ukimya zaidi yaani yeye ni mtu wa behind za scenes zaidi. Nili tegemea makeke zaidi toka kwake kwenye vikao vya bunge.

  Regia Mtemi- Huyu ni mwanaJF mwenzetu wa muda mrefu. Ali pambana sana mpaka kuja kuishia kupewa ubunge wa viti maalumu. Ila tokea apate ubunge naona kuna makosa ya kisiasa ana fanya ambayo yata kuja kumcost baadae na hata kupunguza nafasi yake ya kurudi Bungeni.

  Freeman Mbowe- Kama kiongozi wa upinzani nilitegemea amake headlines zaidi ila so far kama mkinya kuliko nilivyo tarajia. Ina wezekana ni mbinu yake ila kadri siku zinavyo enda nategemea sauti yake ita sikika zaidi.
   
 2. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mpaka hapo hujamtaja Tundu Lisu nina wasiwasi kama huwa unaangalia bunge la tz au la somalia! Huyu makamba naye sijui umemtoa wapi! Yeye ana maslahi yake flani asikudanganye, ametumwa huyoooo!
   
 3. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  yani kitendo cha kutokuanza kumtaja Tundu Lissu tu,umenipa mashaka na kuamini moja kwa moja ulikuwa umemlenga kumtaja huyu wa tatu tu,hata zitto na mdee umewataja basi tu.Ningeomba uangalie kikao kijacho vizuri halafu ndio uje kutoa orodha yako tena kwenye hi thread yako kwa usahihi na bila unazi.
   
 4. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Godbless Lema
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ahaaaa.... mwanafalsafa hata wewe? Waulize wabunge wa CCM in confidence watakuambia ni nani anawanyima usingizi. Lissu is scaring the hell out of those lot. Better still muulize Celina Kombani. She waa shaking like a leaf kila aliposimama Lissu, bahati yake alikuwa kakaa karibu na mwanasheria mkuu Werema.
   
 6. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kama hujamtaja Mh LISSU hata hao wengne hawana maana juzi pale bungeni kidogo Kombani na Warema mkojo uwatoke pindi Lissu anaposimama. Hao wengne ckatai ila anza na Lissu.
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu MwanaFA1;

  Za siku Mkuu?

  Good to read from you again. Nice post.

  Wako akina Lisu pia. Tutajua kadiri siku zinavyokwenda hasa Bunge lijalo la bajeti.

  Respect.
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ni kweli muongeze Lisu, nakubaliana na hao uliowataja.
   
 9. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Jaman ee TUNDU LISU NIKIFAA BINAFSI NAMKUBALI MAMA MAKINDA ANAMUOGOPA MPAKA CKU HZ MAMA ANAOMBA URAFIKI. Hahahaha!
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Nakumbuka mara tu alipochaguliwa kwenye kiti cha uspika huyu mama alianza kwa kuhubiri kuwa wabunge wote lazima wasome na kuzijua 'kanuni za bunge' na nina uhakika kichwani kwake alikuwa anaamini angewaumbua watu (Lissu & co) kwa kutumia hizo kanuni. Shida inakuja pale watu kama Lissu, Mnyika, Halima Mdee ambao ni wanasheria kwa taaluma wanampa LIVE kwamba sheria au kanuni yeyote haisomwi kama riwaya lazima isomwe sambamba na sheria mama -KATIBA. Hapo sasa..... mama itabidi apate mawani nyengine.
   
 11. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180

  kuna wagombea walikuwa wanapangiwa maneno ya kuongea kwenye majukwaa,wananchi wakawaamini kuwa ni wapiganaji sasa subiri wataumbuka mmoja baada ya mwingine, na most of them kwa sasa waamejikita katika migogoro kwani akili zao zime hang wakisubiri kupangiwa maneno ya kuongea pale bungeni.Mntika hana uwezo wa kuwa mbunge,ambaye bado anamatumaini na mnyika asubiri ajionee. Ivi sugu kuna point hata moja aliongea bunge lililokwisha?
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huyu mama lacks public relations, communication skills, common sense above all she does not have the sense of humor ... she is completely frozen and cold
   
 13. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  ila tundu yeye kajitahidi sana.Ama mbowe ameonesha udhaifu mkubwa wa nafasi aliyoing'ang'ania ya kuongoza kambi ya upinzani, natamani enzi za hamad rashid.mbowe kung'aa kazidiwa na mrema?!!
   
 14. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Sugu namshauri ile bendi yake ya matusi aliyoizindua pale kwenye ukumbi wa musizi wa mheshimiwa Mbowe baada ya kupewa ridhaa na wanambeya auendeleze kama anadhani utalijenga taifa ambalo lina dimbwi la mafisadi. sisi kule kwetu tunasema "Umufa wi mbwebwe unyobwa wugishushe" hii sentensi Zitto huifanyia kazi mara nyingi ndio maana hatoisha kung'aa bungeni.
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ninawasiwasi hata ulimi wako umeupaka mkorogo ndiyo maana unatoa rotten vapour
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,878
  Likes Received: 11,989
  Trophy Points: 280
  Hao ndugu zako wasahau waambie wasubiri next time may be 2015 or 2020 vyama vyao vitakapokuwa kambi rasmi ya upinzani.
   
 17. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,878
  Likes Received: 11,989
  Trophy Points: 280
  Watu kama Mr.Mak ndio watumwa wa Msekwa kuja humu JF kuitetea CCM unategemea nini.
   
 18. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona umemng'ang'ania Sugu wakati sisi vijana wa Mbeya tunamuona anafaa.Mboma wabunge wengi tu wa chama tawala hawajawahi kuchangia tangu waingie Bungeni na huwasemi.
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mbona sasa anamwangusha aliyemtuma!
  Msekwa deploy timu ingine plz
   
 20. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Najua sasa hivi tupo kwenye kikao cha tatu tu cha Bunge na kwamba mpaka ikifika miaka mitano (2015) mengi yata jitokeza.

  Baadhi yenu mnaweza kusema nimapema mno kutafakari wabunge gani mpaka sasa wame jitokeza kama nyota wa Bunge ila kwa maoni yangu mpaka sasa ni hawa wawili.

  Freeman Mbowe:

  Kama kiongozi wa upinzani nilitegemea amake headlines zaidi ila so far kama mkinya kuliko nilivyo tarajia. Ina wezekana ni mbinu yake ila kadri siku zinavyo enda nategemea sauti yake ita sikika zaidi.


  Zitto Kabwe:

  Mpende mchukie huyu bwana anajua kupanga hoja na una ona uwepo wake bungeni iwe positive au negative. Pia ameonyesha uelewa mzuri wa kanuni za Bunge (zaidi ya hata speaker) pale alipo mtetea mbunge mwenzio wa Chadema wiki iliyo pita.

  Halima Mdee:

  Mdada anae onyesha kwamba wanawake wanaweza bila upendeleo maalumu. Ana pangilia hoja vizuri na ana pick her fights vizuri.

  January Makamba:

  Najua wengi humu ndani wanaweza wasikualiane nae au hata kumpenda. Ila siyo siri ni mmoja wa vijana wanao sikika bungeni na ana jitahidi kadri iwezekanavyo uwepo wake Bungeni uonekane.

  Wale niliyo tegemea impact kubwa zaidi toka kwa Bungeni lakini mpaka sasa wame kuwa kimya:

  John Mnyika:

  Huyu jamaa siyo siri ana hulka ya kupendwa ila inaelekea approach yake ni ya ukimya zaidi yaani yeye ni mtu wa behind za scenes zaidi. Nili tegemea makeke zaidi toka kwake kwenye vikao vya bunge.

  Regia Mtemi:

  Huyu ni mwanaJF mwenzetu wa muda mrefu. Ali pambana sana mpaka kuja kuishia kupewa ubunge wa viti maalumu. Ila tokea apate ubunge naona kuna makosa ya kisiasa ana fanya ambayo yata kuja kumcost baadae na hata kupunguza nafasi yake ya kurudi Bungeni.


   
Loading...