Kwa haya sikubaliani na Tundu Lissu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa haya sikubaliani na Tundu Lissu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NOT ENOUGH, Apr 23, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tundu Lissu ni mbunge mahiri sana tena utapenda competence yake pale kwenye mijadala ya sheria au haki za binadamu. Mswaada wa uendeshaji wa mahakama uliyopelekwa bungeni siku ya jumamosi alionyesha umahiri wake kwenye nyanja ya sheria. Yote nilimuunnga mkono na Werema na Celine Kombani walimbania tu kutofanya marekebisho ili mradi wasionekane wamekurupuka kupeleka ule mswaada. ILA mambo mawili hata mimi sikuyakubali.

  1. Chief Court Administrator kuwa na taaluma ya sheria. Hili ni sahihi kabisa kama added advantage na siyo kuliweka kwenye sheria ili lipitishwe na bunge. Kwenye Administration ya mahakama law implication ni sehemu ndogo sana hivyo haiwezi kuwa core qualifications za Chief Court Administrator.

  2. Budget ya mahakama itolewe kulingana na matakwa ya mahakama. This is absolutely wrong kuingia kwenye sheria. Hapa Tundu alikuwa na maana kiasi cha fedha watakacho omba basi wapewe kama kilivyo. Pillars zote ni muhimu sasa why mahakama wao ndio wapate budget allocation as per their budget.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapa tukisema jamaaa ni mkurupukaji, watu wanakuja juu na kuporomosha maneno yasiyo na busara
   
 3. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Poorbrain sijakuelewa unasemaje?
   
 4. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Not enough don't bother to understand people like " genius brain" they are Not mature enough to understand learned points like the one you raised! kwa hiyo achana nae ye ndio mkurupukaji! ni malaria sugu huyu umemsahau!
   
 5. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asante ndugu ndio maana nikamwita POOR BRAIN and not Genius Brain, na sijui watu kama hawa wanatoka wapi humu JF.
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hujaelewa nn hapo sasa kaka ? Tundu Lissu ni mkurupukaji
   
 7. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  aah kumbe Malaria Sugu! Habari yako bana?
   
 8. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  sikuelewi hata chembe!
   
 9. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mh!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na mimi napingana na wewe

  I believe in opposite of what you just said

  mnataka accountability na transparency and thats the small price you have to pay
   
 11. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huwezi kuchanganya politicians na mahakama katika nchi inayoamini misingi ya utawala wa sheria. Ucha ushabiki wewe.
   
 12. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  NOT ENOUGH ni jike, mkuu
   
 13. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nilidhani kampani moja kumbe...
   
 14. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Only Fools like GeniusBrain can disagree with this fact that Tundu Lissu is a unique MP in our Bunge.

  President Kiwete knows that. During Presidential campaign in Singida East,the constituency to which Lissu represents in Parliament Kiwete warned that Lissu must be stopped at any cost from winning the Singida East MP seat.

  That it was better to have 10 Slaas in Parliament than having 1 Lissu in the same! These words came from the mouth of your fake president who won the election through the back door. Kiwete your President said these words because he knows the intelligent element and smartness in Tundu Lissu when it comes to issues related to Laws.

  But here you Genius/Poor Brain you're challenging your own President that Lissu is nothing!

  I remember one novel by Mario Puzo titled:The FOOLS DIE. So is Geniusmimavi!
   
 15. b

  banyax New Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka hujui ukweli ndo maana unasema ivo, lisu ni noma
   
 16. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama hii MIHIMILI in haki sawa, kila mhimili upewe mgao wake wa bugdet wajipangie wenyewe watakavyo endesha mambo yao na siyo kuomba Serikalini! Hazina ndo iwe ina toa mgao kwa uianao wa majukumu kwa kila mhimili wa dola. La sivyo lawama hazita kwisha.
   
Loading...