Dr Slaa hili nalo linafaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa hili nalo linafaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eiyer, Apr 23, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kutokana na mapambano ya kulikomboa taifa hili mara ya pili kufikia mahali pazuri ningependa kumkumbusha/kumshauri amiri jeshi mkuu wa mageuzi dr Slaa afanye kikao kikubwa na wasanii wote wa nchi hii amahimize watunge nyimbo za ukombozi badala ya mapenzi,naamini kuna kundi kubwa sana la watu watapata ujumbe na kusaidia kurahisisha mwamko wa watanzania wengi,kwa mfano ilivyokua South Africa,wote walikuwa na sauti moja,jamani ni vizuri tukaiga mfano huu
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri, mtoa mada ni mtu huru, huna ukasuku wa kusubiri flani aseme kisha utilie mkazo.. Kwa kuanza angeanza na hao wanaopendwa uswazi ambako watu hawako aware na ukombozi, I mean wakati wa uchaguzi ndiko kunakogaiwa tisheti na khanga za njano na kijani...
   
Loading...