Gamba na hatari zake!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Dhana ya kujivua gamba ni mbaya kwa sababu nyoka anapojivu gamba huwa anakua kijana zaidi,hivyo anaongeza muda wa kuishi zaidi na anakua na uchu na hasira kuliko mwanzo,hawa waliojivua gamba ni hatari kwa nchi yetu kuliko walivyokuwa na gamba kwani watakua wepesi zaidi wa kula rasilimali zetu kuliko mwanzo,magamba waliyotoa(RA,EL,AC) yalikua yameanza kuwa mazito(kugundulika kwa kashfa zao)hivyo wameyaondoa wawe wepesi(kuleta wengine)hivyo ccm inatarajiwa kuwa hatari zaidi kwa maendeleo ya nachi hii
 
Back
Top Bottom