Meya Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mumwi, Apr 22, 2011.

 1. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo katika ibada ya ijumaa kuuya moja wa madhehebu iliyofanyika katika uwanja wa shekh Abed jijini Arusha na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Isidori Shirima pia kulikuwa na viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa, maaskofu na wachungaji.
  Cha kushangaza ni kwamba meya wa Arusha alikuwepo lakini hata kutambulishwa hakutambulishwa wakati viongozi wengine walitambulishwa kwa majina kweli inaonyesha ni jinsi gani huyu meya hakubaliki yaani ni afadhali angekaa nyumbani kuliko kuja hapo maana watu wasiomjua hawakujua Kama meya alikuwepo na alikaa meza kuu nawailisha.
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,846
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
  Angetambulishwa kwa cheo gani.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hata hapo meza kuu alikaa kama nani....
   
 4. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alikuwa nyuma ya viongozi wengine ndo maana alikaa meza kuu.
   
 5. B

  Blessing JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UNAJUA PORTI he knows very well that where he is does not belong to him kwa hivyo anaongopa sana. Wa Arusha watammaliza.

  Hawezi kabisa kwanza hapo alipo anahakika na maisha yake. ATOKE TUU kama anajipenda maisha yake. Atakufa kisilensa tuu huyo MEYA wa Arusha. Mchagga anakiburi sana. ALINDE TUU KITI CHA CCM LAKINI ATAKUFA TUU KISILENSA MUDA SIO MREFU Subiri uone.
   
 6. k

  kalechee Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msg sent vzuri sana kwamba hatakiwi
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Uungwana ni kutambua hali ikoje, ajiuzulu kisha agombee tena ili Kama atapata kwa njia halali heshima yake itarudi. Kibiri cha ki CCM kitaendelea kumnyima heshima.
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Watu wenye akili zao wanajua kuwa kumtabulisha huyu jamaa kungeharibu shughuli yote. Nafikiri hali hii aliyonayo huyu meya ndiyo inayomkuba mkuu wa nchi hasa ukiwa unajua fika kuwa hukupatikana kihalali, yaani wewe ni product ya chakachua. Uongozi ni kuongoza watu, katika nchi za demokrasia ya kweli huyu meya angekaa pembeni kwa sababu hana public support, ila katika nchi ya kuone vyeo ni ulaji ni dhahiri anang'ang'ania kwa masilahi binafsi tu. Ndiyo maana Tanzania under CCM hatutaenda popote zaidi ya kurudia pre-colonial era stage, maana kuna baadhi ya barabara za rami mijini zilijengwa na wakoloni na tokea waondoke zimeachwa na kurudia hali yake ya kabla ya kujengwa.
   
 9. Mvuni

  Mvuni JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Anasubili nguvu ya umma ije imuwajibishe? Asubili tu, siku zake za kung'oka mbona za-hesabika.
   
 10. F

  Froida JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hahahaha Hiyo kali wanaogopa angezomewa na shughuli yote ingetibuka inaelekea mkoa wanataka mambo yawekwe swa ni wakubwa na UVCCM na CCM wanlazimisha maskini anaishi maisha magumu sana,anaonekana ana hofu kuu ya maisha yake na familia vake
   
 11. m

  mao tse tung Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ipo siku tutamhamishia shambani
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mi simtambui km meya, then nawasiwasi na siasa zake!
   
 13. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Lakini bado unamlipa mshahara na marupurupu yake...hahahaha
  So whats the point?...
   
 14. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimemkumbuka mwalimu wangu alipenda kusema "soma usisome, sikiliza usisikilize lakini mshahara wangu uko palepale"!
  Huyu meya anapokea mshahara na posho za vikao na 2015 atapata marupurupu yote ya meya mstaafu!! Ila hatafanya kazi yoyote kama meya.
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Huyu meya kawekwa na vigogo kwa maslahi yao, hivyo kujiondoa hawezi maana anaweza kuuawa na hawa jamaa kama walivyofanya kule Iringa.
   
 16. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Huyu Meya hakuchaguliwa kihalali,ss Kama angetambulishwa mbele ya wananchi mambo yangeharibika wangebaki wenyewe.Tulio Arusha tunataka uchaguzi wa Meya mjini Arusha urudiwe sivyo tutafanya vile tunafikiri.Na huyu Nape kusema uchaguzi hautarudiwa yeye ni nani hata aishinde nguvu ya umma iliyochoshwa na viongozi wabovu!?Tena hatutaki kumuona huku.
   
 17. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Suala la umeya wa Arusha limefkia mwisho. Cdm mlichemsha kwa kususia mkutano halali. Hanna la kufanya maana hata mahakamani mmechelewa poleni.
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Amekuwa nuksi, aindende Ng'ende kwa waganga.:spy:
   
 19. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mimi ni mkazi wa Arusha. Huyo uliyemwona ni Gaudence Lyimo,diwani wa moshono. Sio meya wa Arusha maana hakuna meya huku. Tamko la maaskofu wa hapa Ar walisema hawamtambui na hawatampa ushirikiano. Kwa hiyo wasingeweza kumtambulisha pale..
   
 20. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mkutano gani tulisusia?,mbona unakurupuka?Chadema walielekezwa sehemu tofauti ya uchaguzi na kwingine ccm wakafanya uchaguzi peke yao bila kufuata utaratibu. Usiandike kitu huna uhakika nacho
   
Loading...