Waziri wa Viwanda Ciril Chami apata Ajali

Waziri wa Viwanda Ciril Chami apata Ajali

muhosni

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,108
Reaction score
154
Amepata ajali maeneo ya Same gari imepinduka yeye na wenzake wamesalimuka wamelazwa KCMC

Source: breaking news ITV usiku huu
 
Waziri wa viwanda na biashara Mh Cyril Chami amepata ajali wilayani Mwanga. Gari lake limepinduka. Amepelekwa Kcmc hosp kwa uchunguzi zaidi RADIO1 STEREO
 
Alikua anaenda kula pasaka moshi nini?maana mchaga bila kwenda x mas na pasaka moshi anajiona hayupo duniani
 
Pole sana mh.waziri kwa ajali. Natumai Mungu yu pamoja nawe! Pole na nakutakia afya njema bwn.Chami.
 
Mchungaji!!!!!!...................... nahisi hii kwako umeiweka kama outomated post iliyokusudiwa wakati wa misiba.

Mchungaji anatoa salamu zake mapema kwa sababu atakuwa amesha RIP wakati Chami atakapokuja ku RIP. God forbid
 
Sasa sifurahii ajali lakini labda kwa kuwa mashangingi yao nayo yanapata ajali basi pengine wataanza kutatua tatizo la ajali tz ambazo kila siku zinaua watu na serikali haichukui hatua madhubuti.
 
Simfahamu vuzuri huyo, lakini kwa vile ni binadamu na binadamu wote ni ndugu basi pole kwake. Ila akipona akumbuke kumshukuru mungu. Na kwamba, agaili vitendo vyote vya dhuruma, rushwa na ufisadi uliyokithiri chamani kwao (CCM) na serikali yake.
 
na aache tabia ya 'wanaounga mkono waseme ndiyo, NDIYOOOOOOOO!
 
Pole yake Mungu amempa onyo kwa maovu anayoyatenda ni kipindi cha kuongoka na kutenda mema
 
Alikua anaenda kula pasaka moshi nini?maana mchaga bila kwenda x mas na pasaka moshi anajiona hayupo duniani

watu kwao bwana.....ambao hawajawahi kurudi kwao tangu waondoke ...na kusubiria kurudi wakiwa wafu au kugombea makaburi mjini watajibeba.....Watu wajenge vijijini kwao ili kuvutie kwenda ...sio kila siku wachagga ...wachagga....
Kama hujui shangwe zilizopo kasikazini wakati wa sherehe ...omba rafiki yako uambatane naye na hutojutia....its celebration at its most!!!!...kula na kusaza!!!
 
Adhabu ya vijembe vya bungeni. Angelemaa labda wangeboresha sera za walemavu
 
Back
Top Bottom