Chadema ijipange upya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ijipange upya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NOT ENOUGH, Apr 22, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Not enough:)
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jitoe magamba na wewe! Hatudanganyiki.......Lowassa, Chenge na RA wako bungeni kwa ticketi ya chama kipi? Bunge ni zaidi ya chama NOT ENOUGH
   
 4. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Nyoka ni yule yule hakuna jipya,tatizo la ccm sio la mtu mmoja mmoja bali la mfumo wote haufai,
   
 5. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Not enough kweli.....na hiyo CDM uliyopo wewe naamini sio hii ya Dr Slaa.Hii CC ya chama cha magamba ni kama mbu hivyo CDM hatuwezi kutumia rungu kupambana nao....nenda kamsalimie mzee Msekwa na CC ya magamba waambie huku watu wapo variant hadi basi
   
 6. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nyie tuendeeleni kupuuza mambo tuone kama ikifika 2015 kama hatujawa extinct - where is NCCR???
   
 7. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ubunge na kuwa kwenye CC ni vitu tofauti, think before you lip
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  CDM na CCM ni tofauti, kujivua gamba kwa CDM ni sawa na kufata maovu ya CCM. CDM ipo mzuka kwa mfumo huu kwani ndio haswa umeivunja ngome/magamba ya CCM. Wanachama wa cdm ndio haswa wajivue mangamba na elements zote walizorithi za ccm. CDM CHAMA KUBWA!
   
 9. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi mfumo wa CDM ni mzuri sana? wa kumwabudu mwenyekiti kama Mungu mtu? au sababu anatoa pesa? ndo maana unaona Zitto anakuwaga tofauti.
   
 10. maulaga

  maulaga JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 472
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mukama wako ni mtupu mno.Hajui nini kilitokea na kinatokea ndani ya CCM. Hajui siasa ya ujamaa na kujitegemea iliuawa na mafisadi kwenye kikao chao kilichoketi Zanziba hata kabla Nyerere mwenyewe hajafa. Mukama wako kama zuzu akiwa Zanzibar juzi juzi hapa alisimama nakutamba kwamba eti CDM hawana itikadi ila CCM wanaitikadi ya ujamaa na kujitegemea. what a shame! Maskini Mukama, hajui kabisa kwamba tatizo sio mafisadi bali tatizo ni mfumo uliowazaa mafisadi. Kuua azimio la Arusha chini ya usimamizi wa nguvu na baraka zote za CCM ndio kuliko zaa ufisadi na mafisadi. Viongozi ndani ya CCM waliokuwa hawana mitaji ya kukusanyia utajiri waliruhusiwa kuvuna mitaji hiyo kwa njia zote haramu, hii ni pamoja na kuliingiza taifa letu katika mikataba mibovu na yakinyonyaji. Walio kuwa nje ya mfumo wakaanza harakati zakuingia kwa gharama yoyote ikiwamo rushwa ktk chaguzi. Tukaanza kushuhudia maprofesa walafi kama akina Kapuya wa kiacha kazi za uhadhiri/ utafiti na kujiingiza kwenye ubunge na kuruhusu vijana wao wakiwashughulikia watu wanaodhani ni wapinzani wao huko Kaliua. Tukashuhudia ndugu zeti waasia/wahindi/waarabu nao wakiunganisha biashara zao na siasa kwa gharama zozote. Mr.NOT ENOUGH, CCM hawajagundua gamba la kujivua. Nawashauri kwa nia njema warudi wakasome Azimio la Arusha, ama hakika wataliona gamba la kujivua. Bahati mbaya sana timu ya Mukama ama kwa kiburi au kwa siasa za ulimbukeni hawana mpango wakuliona gamba halisi. Mzee Msekwa umeipeleka wapi busara yako mpaka unaanza kupelekwa na kitukuu chako Nape Nnauye ambaye ina onyesha kabisa haijui wala hajawahi kuiona misingi ya Azimio la Arusha.
   
 11. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hamia ccm.
   
 12. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Not enough nimegundua huna msimamo wewe mara wajifanya mwanchadema huku ukiiponda,unaleta mambo ya kukata tawi ulilokalia
   
 13. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mkweli si mnafiki kama wanachama wengine, penye ukweli nasema ukweli
   
 14. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema wamejipanga zamani taratibu, ila kama unaona haijajipanga nenda CCM ambako leo bado uko huko (kachukue kadi ya pili) otherwise chadema iko full mszuka
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mnafiki wewe, kama ni mkweli ungeenda kusemea kwenye vikao vya CDM! Hamia tu huko CCM kama basi hauko CCM kweli. Hatujuti kumpoteza mwanachama mnafiki kama wewe!
   
 16. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Naomba ufafanuzi wa maneo hayayenye lugha machnganyiko ndipo tuweze kuchangia
   
 17. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wa magamba tu wewe,mwana cdm gani unayefananisha chama chako na hao ccm!cdm chama safi,adilifu na yenye kupigania wanyonge!ijisafishe vp wakati iko safi na haina magamba?
   
 18. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Ndege wanaofanana huruka pamoja,wewe mwenzetu huko unakokwenda ni wapi?ccm kukudanganya kwa kujivua gamba wewe chali duh!
   
 19. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Na hii uliiposti somewhere else
  Sasa hivi Arusha ukitembelea kwenye social platforms utasikia tu huyu bwana 2015 hapati tena. Infact mpaka viongozi wake wanadiriki kusema Lema is too athletic.

  Ushauri - Lema should take time to learn kutoka kwa waliomtangulia na and he should not be over ambitious especially in hunting the popularity.

  Yet unajidai eti "nikiwa kama mwanaChadema".Loh,MAGAMBA hayo
   
 20. A

  Ame JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Hawa wapima public opinion wa Msekwa na Nape watakua disappointed kweli!
   
Loading...