Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuuzwa mitambo Dowans balaa *Yadaiwa ni kitendo cha kudharau mahakama Na Rabia Bakari Majira KUUZWA kwa mitambo ya Dowans kwa kampuni ya Kimarekani ya symbion Power kumezua balaa jipya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UPDATES: -Ni marufuku mawaziri kutoelewana -Mawaziri wakishakubaliana katika baraza la mawaziri ni uamuzi wa wote -Ukiona ni vigumu kuafiki ni bora kutoka -Ni lazima kutekeleza uwajibikaji wa...
11 Reactions
302 Replies
25K Views
Natumai humu ndani ni sehemu mojawapo ambayo waleta maendeleo ya nchi hii wanapata fursa ya kupata, kupashana na pia kuchukulia hatua taarifa kamili ambacho ni muhimu kwa maendeo yetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Africa about to celebrate 4G Posted on Monday 23 May 2011 - 11:12 dewane08 Divine Ewane, AfricaNews contributor in Douala, Cameroon It was President Julius Nyerere of Tanzania who once said...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, 24 May 2011 20:08 newsroom NA MOHAMMED ISSA SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema mkataba kati yake na kampuni ya gesi ya Songas una utata na unaweza kulisababishia hasara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Tarime na Rorya Bw. Constantine Masawe amesema Tundu Lissu na watuhumiwa wengine watatu ni watu wa Singida hivyo wanawahoji wamefuata nini Tarime. Nionavyo...
11 Reactions
48 Replies
5K Views
Nilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni siku chache zimepita Katiibu MKuu wa CCM alizomewa nyumbani kwao Musoma . Lakini nimekuwa najiuliza kwa nini azomewe na wakati ni mpya na alikuwa anajitambulisha pia ? Nikagundua kwamba ni CCM...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa karibu nikagundua kuwa nchi nzima TANROADS wamekazana kuweka alama za "X" kwenye nyumba ambazo ziko karibu na hifadhi ya barabara. Gharama kubwa sana inatumika kuwapeleka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wednesday, May 25, 2011, 11:32 Local News, Rai BY HAFIDH KIDO THE Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) lawyer, Mabere Marando, said his party was not seeking political cleavage on the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka 2009/10, Dhahabu ya Tanzania iliyouzwa nje ni Tani 38 za dhahabu. Katika soko la dunia wakia moja (Troy Ounce) ya dhahabu inanunuliwa kwa Dola 1526. Wakia 1 (Troy Ounce) ni sawa na Gramu...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
*Yadaiwa ni kitendo cha kudharau mahakama Na Rabia Bakari KUUZWA kwa mitambo ya Dowans kwa kampuni ya Kimatekani ya symbion Power kumezua balaa jipya baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...
1 Reactions
1 Replies
975 Views
Leo mchana kutakuwa na mkutano wa hadhara arusha maeneo ya St. Thomas karibu na Ottu. Utahutubiwa na Lema(mb), Nassari, na madiwani wote wa chadema arusha. Mkutano huu umeandaliwa na madiwani...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama uchaguzi ungefanyika leo Tanzania, asilimia 85% ya watanzania wanasema kuwa hawaitaki serikali iliyopo madarakani. Ufumbuzi huu umetokana na mini survey niliyofanya kwa kutumia data (maoni)...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
UfuATAO NI TAARIFA HALISI TULIYOTOKA NAYO BAADA YA UCHUNGUZI WA WETU, KWA KULINDA NA KUHESHIMU UADILIFU WA TAALUMA YETU YA KIAFYA. KIAPO NILICHOAPA HUKO CHUONI (MEDICAL ETHICS) 1. Kile...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ishu ya Tarime iangaliwe kwa kina..jana taarifa ya habari mwili wa marehemu uko barabarani,..sasa hii ni nini? huu sio ustaarabu zaidi tunazidi ongeza chuki ndani ya jamii...Nafikiri wanaitaka...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima) WATAWALA wetu wanahitaji hekima. Yaani, ile tunu na kipaji ambacho Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtakumbuka kwamba mwanzoni mwa mwezi huu kulikua na malumbano kati ya zitto na mkulo kuhusu malipo ya mishahara! Kiukweli mishahara ilikua inachelewa mpka siku ya 35 miezi mingine,ila naona mwezi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndiyo hivyo jamani, kama shamba lisilo na mwenyewe vile! Wajanja wanakuja na mbegu chache lakini wanazalisha na kuvuna kwa kutumia watumishi walewale na shamba lilelile kisha wanakula, wanashiba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Serikali ya awamu ya nne yenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama na Amri jeshi mkuu imejivua wajibu wa kulinda maisha na mali ya wananchi wake na kuibebesha jukumu hilo CDM. Ni wazi sasa kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…