Kumbe Kibonde nae ana Point

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje mtu binafsi anaendesha precision kwa ufanisi mkubwa atc wanashindwa? kwanini shirika kubwa kama bima linakufa wakati lilikuwa na ukiritimba. rushwa jamani magamba mmeua nchi tumechoka
 
<br />
<br />
 
Mkuu humfahamu kibonde wewe, ataponda kila kitu ikifika kwa JK atatetea kwa moyo wake woote! Yeye na jk tuu na ccm ya magamba!
ataponda ccm zoote za mwalimu, Mwinyi na Mkapa ikifika ya magamba anakufa nayo kwa kuitetea!
 
na sasa kuna habari kwamba makampuni yoote makubwa yana kimbilia lake Tanganyika kuchimba mafuta kuna reserve ya hatari huko. wenzetu drc washaingia mikataba sisi tumelala tuuu huyu waziri wa nishati wa magamba amelala usingizi wa pono. mungu atusaidie na huu utajiri tulionao hawa magamba wasitudhulumu.
 
Kufa kwa mashirika ni ccm yote, sasa kuna watu wanataka kumtoa jk katika hilo, nadhani hata yeye kachangia sana kuyaua,
 
Tatizo kubwa linalosababisha mashirika yetu kufa ni kukosa uzalendo na uchungu wa mali umma. Ubinafsi umetujaa..Anapoteuliwa mtu kushika wadhifa tunampongeza kwa kumwambia aisee hongera sana UMEUKATA. Unategemea nini katika hilo?
 
na sasa kuna habari kwamba makampuni yoote makubwa yana kimbilia lake Tanganyika kuchimba mafuta kuna reserve ya hatari huko. wenzetu drc washaingia mikataba sisi tumelala tuuu huyu waziri wa nishati wa magamba amelala usingizi wa pono. mungu atusaidie na huu utajiri tulionao hawa magamba wasitudhulumu.

Ni Taabu kabisa!~ Ukimuangalia huyo Waziri usoni, hutaona ishara yoyote ya ufahamu wa kuiongoza wizara.
 
Ibange, za jioni.
Nimemsikia Kibonde kwenye kipindi cha Jahazi mimi nilimsikia akiongea pumba. Kamsifia sana Makatta kwamba alisoma na mama yake! PPF zote eti ni kazi yake.
Ili ATC ifufuke katoa pendekezo ipeleke mchanganuo wa biashara TIB ili wapewe mkopo wa kununua ndege - hapo ndo niligundua ni aina gani ya akili aliyonayo Kibonde.
Kwa pamoja mle studio nilisikia wakihoji kama Mramba aliweza kulazimisha ndege ya rais inunuliwe hata kama wananchi watakula majani itakuwaje serilkali isiidhamini ATC kupata mkopo kununua ndege?
 
Kibonde ni mpenda sifa maarufu mjini hapa hana lolote,anapenda kujifanya yeye yupo sahihi muda wote, nadhani hukumsikiliza hadi mwisho lazima angekuboa tu maana amejaa ushabiki wa kimagamba.
 
Nilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje mtu binafsi anaendesha precision kwa ufanisi mkubwa atc wanashindwa? kwanini shirika kubwa kama bima linakufa wakati lilikuwa na ukiritimba. rushwa jamani magamba mmeua nchi tumechoka
Kakutuma nn,au ndo mwenyewe
 
Kibonde anazengea u-DC baada ya kukosa ubunge wa viti maalumu ndiyo maana huwa siku zote anamsifia JK. Anakera sana huyu mbwiga.
 
Mkuu humfahamu kibonde wewe, ataponda kila kitu ikifika kwa JK atatetea kwa moyo wake woote! Yeye na jk tuu na ccm ya magamba!
ataponda ccm zoote za mwalimu, Mwinyi na Mkapa ikifika ya magamba anakufa nayo kwa kuitetea!

Kwasababu wote ni wagonjwa. Hivi keshaenda kwa babu loliondo huyu kama mwenzake mkwer'e?
 
Kibonde ni KIBONDE tu, hata ajifanye anajali huyu mjinga hastahili heshima hata kidogo. Si ajabu anafanya kwenye redio ya kipuuzi kama yeye alivyo mpuuzi puuzi. Nawewe unamatatizo gani hata unasikiliza redio mbovu kama hiyo?
 
huyo bwana tatizo lake ni kiherehere na kigeugeu, kuna wakati safi then utumbo!
 
Back
Top Bottom