Ya Tarime Yamulikwe kwa Manufaa ya Wote

May 19, 2011
62
5
Hii ishu ya Tarime iangaliwe kwa kina..jana taarifa ya habari mwili wa marehemu uko barabarani,..sasa hii ni nini? huu sio ustaarabu zaidi tunazidi ongeza chuki ndani ya jamii...Nafikiri wanaitaka maiti wapewe wafanye maandamano wakazike..Tunamengi ya kufanya kama nchi masikini na Mengi ya muhimu tunayohitaji kuyazungumzia kuliko hii habari ya kunyang'anyana maiti.
 
Back
Top Bottom