Asilimia 85% ya watanzania hawaitaki serikali ya jk kama uchaguzi ungefanyika leo

nderingosha

JF-Expert Member
Mar 20, 2011
4,281
3,243
Kama uchaguzi ungefanyika leo Tanzania, asilimia 85% ya watanzania wanasema kuwa hawaitaki serikali iliyopo madarakani. Ufumbuzi huu umetokana na mini survey niliyofanya kwa kutumia data (maoni) kutoka kwa JF members (kuanzia 2010 baada ya uchaguzi mpaka leo).

Sampling na survey design:

Hii ni qualitative descriptive analysis iliyohusisha random sample iliyochaguliwa toka JF population (which is currently =38,368). Swali lililoangaliwa ni mtizamo wa maoni (opinions), yaani: pro au against the government. Control ya comfounding factors kama udini na ukabila pia imefanyika ili kuondoa bias katika final results. Survey imehusisha idadi ya watu 3518 (sample size) ambayo imechaguliwa toka kwa population ya 38,368 JF members (current JF members). Sample hii imetokana na Confidence level = 99% at 3% error level. Data analysis imefanyika kwa kutumia current SPSS statistical software (for frequency statistics).

Matokeo:

• Asilimia 85% (2990) ya respondents wamesema hawaitaki serikali ya JK

• 10% (352) wamesema bado wanaitaka serikali ya JK

• 5% (176) wamekuwa neutral (hawakuonyesha wako upande gani kwa opinion zao)

My take (conclusion):

• Kwa wale wanaofanya social studies (kama kina Prof.Mukandara et al), we need these kinds of surveys more frequently to give a wakeup call to our lazy and corrupt leaders.

• Kuna wale watakao argue kuwa study hii sio representative of the countrywide opinions (kwa maana ya sample size ndogo), lakini wajue kuwa JF members wanawakilisha maoni ya watu from all parts of the country (and abroad).

• Kuhusu credibility yangu katika kufanya hili, be informed kwamba Nderi wa ngosha is a big time researcher. Nawasilisha.
 
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.
 
Ni kweli,lakini wapiga kura wengi hawajui hata Blogs ni kitu gan!i.
 
Hao wanachama wa JF ni asilimia ngapi ya watanzania?

Hao wasiomtaka JK wanamtaka nani? (Pinda, Lipumba, Slaa?)

Ka Sample kako kapo biased sana maana umeangalia watu wanaojua kusoma na kuandika sio tu kusoma na kuandika bali kutumia computer, sio kutumia computer tu bali access ya Internet ambao wote karibu wapo mjini.

Umejitahidi lakini bado...
 
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.

labda wapiga kura wa misikitini ndio wanaoitaka ccm
 
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.

mmmh! Mawazo mengine nayo!
 
Mtu unakaa ukiota ndoto za mchana unakuja na utumbo kama huu...tafuta mambo ya maana na kama huna tulia.Tanzania ni nchi kubwa na sample yako haina kichwa wala miguu.
 
Hao wanachama wa JF ni asilimia ngapi ya watanzania?

Hao wasiomtaka JK wanamtaka nani? (Pinda, Lipumba, Slaa?)

Ka Sample kako kapo biased sana maana umeangalia watu wanaojua kusoma na kuandika sio tu kusoma na kuandika bali kutumia computer, sio kutumia computer tu bali access ya Internet ambao wote karibu wapo mjini.

Umejitahidi lakini bado...

Nakuunga mkono Mkuu! haya ndiyo mawazo tunayoyataka, siyo mambo ya msikitini wala CDM!
 
Sema asilimia 85 ya chadema.

ya ccm iko wapi? ungekuwa unatembele JF from 2007 hadi sasa hivi ndio ungejua jinsi watu walivyo shift from jk likini wote hapa tulikuwa pro JK
kwanza wewe unataka tushabikie mgao wa umeme na foleni?wewe si ni mke wa fulani unakaa ndani hupati hidhi bukdha!!
mwambie jamaa aongee na mshua basi bibie
 
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.

Nawewe uko kwenye hiyo asilimia 5 ya wasiojua kinachoendelea!
 
ya ccm iko wapi? ungekuwa unatembele JF from 2007 hadi sasa hivi ndio ungejua jinsi watu walivyo shift from jk likini wote hapa tulikuwa pro JK
kwanza wewe unataka tushabikie mgao wa umeme na foleni?wewe si ni mke wa fulani unakaa ndani hupati hidhi bukdha!!
mwambie jamaa aongee na mshua basi bibie
CCM ndio serekali kijana...nyie mko wapi?
 
Ok, when you callibrate kuhusisha wale ambao hawajasoma na wanagopa hata vivuli vya watawala wao, inaweza ikawa about 60-65% ambao hawaitaki serikali na hii ni kutokana tu na ugumu wa maisha. as times goes the number can increase negatively or postively in regards to govt acceptance. lakini hayo ni maoni tu....
 
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.

sasa kama wewe CCM umefuata nini humu..usiwe unaongea kama muuza bar unaropoka ropoka tu bila facts...mliambiwa msome mkakimbilia madrasa sasa hayo ndo madhara yake ...ovyoooo
 
Mtu unakaa ukiota ndoto za mchana unakuja na utumbo kama huu...tafuta mambo ya maana na kama huna tulia.Tanzania ni nchi kubwa na sample yako haina kichwa wala miguu.

Wewe unavyo hivyo vyote? Yaani kichwa na miguu? Maana hapa ni wazi inaonekana kichwa hamna maana hiki ulichoandika hapa tunajua kuwa kinatoka tumboni kuingia ktk uchafu.
 
Back
Top Bottom