Uchaguzi bavicha- mei 28. Je utaratibu ukoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi bavicha- mei 28. Je utaratibu ukoje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mrekebishaji, May 25, 2011.

 1. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Natumai humu ndani ni sehemu mojawapo ambayo waleta maendeleo ya nchi hii wanapata fursa ya kupata, kupashana na pia kuchukulia hatua taarifa kamili ambacho ni muhimu kwa maendeo yetu.

  Tuliambiwa uchaguzi wa BAVICHA ni tarehe 28 Mei, tungeomba walio na taarifa sahihi watujulishe kuwa je unafanyika wapi(ukumbi), na je kuna mchuzo wowote umefanyika kwa wagomea? au wote walioomba nafsi wameruhusiwa kugombea. Natumai CHADEMA,kwa maana ya uongozi unaweza kufafanua haya yote ili wapenzi na wanachama wa CHADEMA wajue kinachoendelea kuelekea uchaguzi.


  Kila la kheri wagombea wote, CHADEMA na taifa kwa ujumla.
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hadi upate viongozi wa kutoa update humu mh!
  tusubiri tu nani kashinda uchaguzi
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  CDM ni chama chetu lakini wakati mwingine tuseme ukweli: Kitengo cha habari chadema ni sifuri.
   
Loading...