Thank you Zitto, thank you CHADEMA and please keep up the pressure

Madcheda

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
422
69
Mtakumbuka kwamba mwanzoni mwa mwezi huu kulikua na malumbano kati ya zitto na mkulo kuhusu malipo ya mishahara! Kiukweli mishahara ilikua inachelewa mpka siku ya 35 miezi mingine,ila naona mwezi huu mambo yamekua tofauti mshahara umeingia tarehe 22!

Mimi account yangu ipo NBC usually mishahara ikitoka hazina inapelekwa NMB then wao ndo wanasambaza kwenye ma-bank mengine! Basi hapo unakuta kma watu wa nmb wamepata mshahara tarehe 28 basi kwa sie wa NBC tunapewa siku ya 32 na kuendelea! Ila naona mwezi huu tarehe 22 kitu na box!

Please nawaomba chadema na wakina Zitto msiache kuongeza presha na kukosoa mana mnaweza kuona hawa watu hawasikii ila wanasikia na wanafanyia kazi haya mnayoyasema!

Big up CHADEMA big up Zitto
 
So, mshahara umepelekwa tarehe kumi na kitu maana tarehe 22 ni jumapili! Au umeingia kimakosa!!
 
Urefu wa mwezi utabaki paleplae, tena usipoangalia utakuwa na hali mbaya sana tarehe hizo.
 
So, mshahara umepelekwa tarehe kumi na kitu maana tarehe 22 ni jumapili! Au umeingia kimakosa!!

Me nilienda trh 22 nikaukuta,sasa umeingia siku gani exactly is for u to figure it out,
 
Una maana gani.

Mshahara wa mwezi ulopita umeingia tarehe tano mei huu umeingia tarehe 20mei sasa hapo kafanya kazi mwezi? mshahara unatakiwa kutolewa kati ya tarehe 28 and 31 hapo ndio mtu anakuwa amekamilisha mwezi wa kazi.
 
Kwa kweli haya ni matokeo y Bw, Zitto kuwapigia kelele sasa tunalipwa mapema angalau lwa mwezi huu hatujui huku tuendako maana ikiyokea tena 35 maana itakaa mwezi mmoja na nusu bila mshahara
 
Akili imeganda? Unakumbuka kwamba huo ulioingia tarehe 5 may 2011 ni mshahara wa mwezi upi? Think before you leap!
 
kama tatizo ni pesa kuwahi kupewa basi usiichukue mpaka itakapo fika tar husika..lol
 
Akili imeganda? Unakumbuka kwamba huo ulioingia tarehe 5 may 2011 ni mshahara wa mwezi upi? Think before you leap!

Una maana kalipwa mara mbili katika mwezi mei? Nashindwa kutofautisha mwenye akili iliyoganda na iliyoyeyuka kwali iliyoyeyuka au kuchemka inafikiria zaidi ya kawaida ya binadamu na iliyoganda inafikiria kidogo kuliko kawaida ya binadamu. lakini wote wako kwenye wrong directions.
 
Haya, hongereni. Sisi wengine tulishasahau maana kitu kiliingia tarehe 17. Ila sijui walimu wangu wameanza kulipwa? Kama kuna mtu kati ya waliolipwa nafundisha atupe ushuhuda hapa
 
Kwa kweli haya ni matokeo y Bw, Zitto kuwapigia kelele sasa tunalipwa mapema angalau lwa mwezi huu hatujui huku tuendako maana ikiyokea tena 35 maana itakaa mwezi mmoja na nusu bila mshahara

Kweli mzee wa mwezi ujao kma ukichelewa tutatafutana hapa mjini we ngoja tu,ni kuendelea kuwaunga mkono chadema washikilie uzi ule ule
 
Mtakumbuka kwamba mwanzoni mwa mwezi huu kulikua na malumbano kati ya zitto na mkulo kuhusu malipo ya mishahara! Kiukweli mishahara ilikua inachelewa mpka siku ya 35 miezi mingine,ila naona mwezi huu mambo yamekua tofauti mshahara umeingia tarehe 22!

Mimi account yangu ipo NBC usually mishahara ikitoka hazina inapelekwa NMB then wao ndo wanasambaza kwenye ma-bank mengine! Basi hapo unakuta kma watu wa nmb wamepata mshahara tarehe 28 basi kwa sie wa NBC tunapewa siku ya 32 na kuendelea! Ila naona mwezi huu tarehe 22 kitu na box!

Please nawaomba chadema na wakina Zitto msiache kuongeza presha na kukosoa mana mnaweza kuona hawa watu hawasikii ila wanasikia na wanafanyia kazi haya mnayoyasema!

Big up CHADEMA big up Zitto

umebarikiwa, tangaza habari njema kwa watu wote. chadema ni chama cha watu wote wenye maono toka kwa mwenyezi mungu - thanks zitto umewakilisha.
 
Mshahara wa mwezi ulopita umeingia tarehe tano mei huu umeingia tarehe 20mei sasa hapo kafanya kazi mwezi? mshahara unatakiwa kutolewa kati ya tarehe 28 and 31 hapo ndio mtu anakuwa amekamilisha mwezi wa kazi.

Endeleaaaaaaaaa
 
kumbe mmepata mshaharamapema ndo maana mna mishemishe sana pale T Garden sinza.... msitufanyie hivi bana
 
Back
Top Bottom