Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara baada ya kufutwa kwa hati ya kukamatwa kwake na kuachiwa kwa dhamana,Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Mh.Freeman Aikaeli Mbowe alibebwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TUNAKWENDA WAPI? - VIONGOZI TUNAOWATAKA > > Naeleza baadhi ya matatizo ambayo viongozi tutakaowachagua tuwe na hakika > iwapo wanayaona hivi kama sisi tunavyoyaona. Yanawauma kama sisi >...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katizo la umeme mara kwa mara limetuingiza gharama kama wananchi binafsi na kama uchumi wa nchi .Sasa Mh.Mbunge wa Bumbuli waraka wako ulioutoa kwa Bunge na Raisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJF nimelazimika kuomba msaada kutokana na ufahamu mdogo wa kisheria juu ya kinga waliyonayo wabunge pindi wanapotuhumiwa kufanya makosa ya jinai au mengineneyo yatayowalazimu kufikishwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashindwa kuambatanisha hivi vitu kwa wakati mmoja na kwa mda mfupi kama ni uwajibikaji wa polisi,Nasema hivyo kwa Sababu tangu kutolewa agizo la kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,na Mhe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Freedom... Huyu kijana ni wa kesho; lazima mabadiliko kumuenzi kijana huyu... LIVE FREE OR DIE... We want a society where people are free to make choices, to make mistakes, to be generous and...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katibu wa chama cha Demokrasia Chaema bwana Willbrodi Slaa amesema wabunge wa Chadema hawataingia ktk vikao vya Bunge Kama Serikali haitomwachia mwenyekiti wa Chadema bwana Freeman Aikaeli Mbowe...
4 Reactions
94 Replies
9K Views
Shamrashamra za kumpokea aliyekuwa Diwani wa Chadema kata ya Urughu, ndugu Simon Tyosela, katika viwanja Ulemo jimbo la Iramba Magharibi. Kiongozi huyo aliambatana na wanachama wengine wa Chadema...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Jamani CCM Ni nani aliyewadanganya kwamba 9 x 0 = 90?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namsikiliza kiongozi wa CCM Nape, anaongea Clouds FM kuhusu posho za vikao kufutwa kaongea vizuri lakini tatizo ni pale alipokuwa anafunga maelezo yake " amani ya nchi tumeijenga kwa miaka 50 kwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
The statement by Kova shows vividly that efforts are being made to arrest the surge of democracy in Tanzania. He should be able to distinguish between demonstrating and rioting. Demonstrating is...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
WAKATI Rais Jakaya Kikwete alipoomba kura ili awe rais wa awamu ya nne mwaka 2005, alibuni kaulimbiu ya ”Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania” akiahidi kutimiza ahadi zake kwa ”Ari mpya, Nguvu mpya na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I HAVE AN IDEA FOR THOSE WHO DARE THINK AND REFLECT!! DO A MENTAL RITUAL THAT WILL GET YOU TO SPARE A MOMENT TO ACTIVELY REFLECT ON THE FIFITY (50) YEARS OF UHURU. ANSWER THE QUESTION...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Hii ni kabla ya kesi na wakati kesi inaendelea...Mtanisamehe nimepiga picha kwa simu yangu ya mchina...
30 Reactions
163 Replies
40K Views
Kwa yeyote anayehitaji kushonewa VAZI RASMI la CDM awasiliane na fundi mashuhuri wa kuyashona Magwanda ya CDM anapatikana TUNDUMA .Namba yake ya simu ni +255 754 649 025 Karibuni wote
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wee mzee tuambie kazi yako ni nini kama sio kutafuta hela zitoke wapi,,kwani siku unaajiriwa pale ikulu hukupewa majukumu yako???ancha hizo wee mzee
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HIVI TBC WANAFAHAMU UMUHIMU WA KARIBU TRAVEL AND TOURISM FAIR KWELI? Juzi tarehe 05/06/2011 ilikuwa siku ya mwisho ya maonesho ya Karibu Travel and Tourism Fair (KTTF) yaliyofanyika kwa siku tatu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kikao cha Bunge la bajeti ambacho ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu kinaanza sasa. Nimeongea na mdau mmoja yuko Dodoma na kaniambia watu wenye uchungu na yanayoendelea nchi hii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kama Tanzania ingekuwa na Uchu wa Maendeleo, Nadhani wangeanza kurekebisha kitu kimopja kimoja, Kila Bajeti. Namaanisha Kama Barabara, Bajeti Yote inaenda kwenye Barabara Tanzania nzima, Kisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, kama tunavyojua budget ya 2011/2012 inasomwa kesho na waziri wa Fedha wa Tanzania Mr. Mustafa Mkulo. Je kwa wale walioko jikoni kuna haueni yeyote kwa wafanyakazi? Kodi kwa wafanyakazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…