Ndugu zangu nimkuwa nikifuatilia kwa makini hili swala zima la kukamatwa wabunge wa Upinzani ningependa kufahamu kuwa wao hawana kinga kwa mujibu wa kanuni za bunge? kinga ni kwa wale wa CCM tu...
I'm going to report a crime on line. Regardless to exemmptions of their diplomatic immunity, every person accompanying the president should be dog sniffed (na mizigo yake).
Nyeupe na Nyeusi...
Umenena tumekusikia:
Baadhi ya sehemu na nukuu ulizokazia ni pale unaposema ANAYETAKA UONGOZI WA NCHI HII ASUBIRI HADI 2015....childish statement.
Entirely this is an oblique statement and it...
Hii imenishangaza sana inakuwaje mitambo iendeshwe kwa gharama kubwa hivi ? Au hela zingine wanailipa Dowans kisilisili.
Hebu angalia mahesabu rahisi.
Tsh Bilioni 15 kwa siku zidisha na siku...
WALIOMKAMATA MBOWE HAWANA NIA NJEMA NA JK KWANI WAMEFANYA MAKUSUDI ILI KUHAKIKISHA CHADEMA INAPANDA CHATI KITAIFA NA KIMATAIFA,WAMEFANYA VILE KWA KUTUMIA GHARAMA KUBWA ZA SERIKALI YA JK ,HESABU ZA...
By Adam Clark Estes Jun 06, 2011
The United Nations counts internet access as a basic human right in a report that bears implications both to on-going events in the Arab Spring and to the Obama...
Wana Jamii napata shida kujua kazi za viongozi hawa naomba mnifahamishe kwa kunitofautishia majukumu yao.
1: Mkuu wa mkoa na Meya
2: Muu wa wilaya na Mkurugenzi wa wilaya
3: Afsa mtendaji kata na...
Watanzania wenzangu, jana maaskofu wamemwambia raisi wa Jamhuri na Mwenyekiti wa wavua magamba kuwa awataje wanaohusika na madawa la sivyo atakua mwongo.
Kwa jinsi nnavyomfahamu huyu jamaa...
Kenya, inayonyimwa misaada na wafadhili na kusumbuliwa na matatizo ya ukabila, bado inaendelea kusonga mbele kimaendeleo kwa kasi kufananisha na Tanzania yenye amani tele na inayopewa misaada...
21 March 2011
Dar Es Salaam A trial magistrate has accused the police of showing double standards by failure to enforce court orders to arrest a senior government official over contempt of...
Kaka William Malecela
Bila shaka uko salama na unaendelea na majukumu ya kila siku ya kimaisha. Nimeona leo nikuandikie waraka wa kirafiki kuhusiana na hali ya kisiasa na maisha yetu huku...
Waziri wa Uchukuzi , Mh. Omar, mimi ninamwelewa na nimemkubali.
Kupitia ITV amesema tuimarishe PPP na sio kutegemea bajeti ikiwa ni pamoja na kukaribisha wawekezaji kwa kuwapa vivutio...
BAADA ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka jana, sasa tunazungumzia matunda ya uchaguzi kama ni machungu, au ni matamu kama jamii ilivyotarajia maana watu hawapendi mti na mara nyingi wanapenda...
:becky:
Niliposikia kwa mara ya kwanza habari ya kukamatwa kwake kupitia VoA nilikuwa safarini na sikupata muda wa kutosha kutafakari....In short i was disappointed with him as my first...
Bunge linaanza kikao chake cha bajeti tarehe 7 Juni 2011. Mabunge mawili yaliyopita (sina uhakika kabla ya hapo) C.V za wabunge zilikuwa zinapatikana kwenye tovuti ya Bunge sambamba na picha na...
Kama CCM walifikiri kuwakamata viongozi wa CDM itasaidia kuchukiwa na wananchi kinyume chake wanachadema wamekuwa wamoja zaidi pamoja viongozi wao kuliko kabla. mfano mzuri kukamatwa kwa Mbowe na...
MBUNGE WA CUF MAGDALENA SAKAYA, WAJUMBE WA BARAZA KUU CUF, OFISA WA HAKI ZA BINADAMU NA SHERIA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA WILAYA NA KATA WANYIMWA DHAMANA BAADA YA KUPEWA MASHARTI MAGUMU.
Katika...
Karl Lyimo
5 June 2011
opinion
Nearly two decades after the second president of Tanzania, Al-Haj Ali Hassan 'Ruksa' Mwinyi (1985-95), pledged to eradicate corruption root and branch, the...
KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imetangaza vipaumbele na mwelekeo wa bajeti ijayo ya mwaka 2011/12 ambapo na fkutangaza kuunda kitengo maalum cha kushughulikia mafisadi wkubwa anaolalamikiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.