CCM: Ni Nani Amewadanganya 9x0=90?

CCM Sio vilaza tu, walikimbia umande wote na wanaogopa madawati vibaya mno ndio maana kwao 9 x 0 = 90 nabungeni mmoja wao anasimama akijiamini nakusema 49 + 35 = 4935 wote bila kujijua ni mambumbumbu wanapiga makofi hadi wanasimama.
 
Jamani CCM Ni nani aliyewadanganya kwamba 9 x 0 = 90?

Fafanua ni wapi CCM ilipoingia choo cha kike, vinginevyo post itakuwa to general to discuss hivyo kuweza kuleteleza general conclusion. Nashauri uwe specific mkuu.
 
Fafanua ni wapi CCM ilipoingia choo cha kike, vinginevyo post itakuwa to general to discuss hivyo kuweza kuleteleza general conclusion. Nashauri uwe specific mkuu.

Mkuu nimeamua kutokuwa Specific Makusudi nipime Uelewa wa CCM katika Strategies zao Dhidi ya Wapinzani wao

I'm Asking CCM,

Ni nani Aliyewadanganya kwamba 9 x 0 = 90?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom