Kwa hili la Mbowe ni utashi wa Jeshi la Polisi au Nimaagizo kutoka CCM Makao makuu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili la Mbowe ni utashi wa Jeshi la Polisi au Nimaagizo kutoka CCM Makao makuu??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Jun 7, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kuambatanisha hivi vitu kwa wakati mmoja na kwa mda mfupi kama ni uwajibikaji wa polisi,Nasema hivyo kwa Sababu tangu kutolewa agizo la kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,na Mhe Mbunge hayakupita masaa 48!!Lakini nashindwa kuelewa niyupi kuanzia mahakama hadi polisi hadi Wizara ya Ulinzi na Jeshi lakujenga Taifa hadi Kikosi cha Anga(Airwing command force)
  Nakuweza kupatikana ndege kubwaaa yakubebea mizigo au wanajeshi walioko Field na vifaa vyao!Ikaja kumbeba Mbunge wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA!Isitoshe hayo hayajafanyika mchana ni usiku kwa usiku!
  Najiuliza nini haswa lengo la polisi??Je ninani alifanya hii logistic ya usiku na kuweza kupatikana ndege?Je tuseme serikali inahofia CHADEMA??Je ni Muhasi Tunahitaji majibu yakuweza kujua nivipi JWTZ imehusishwa na usalama wa raia baadala ya Ulinzi wa wananchi na Mipaka yao!JESHI MSIKUBALI KUTUMIKA KATIKA MASWALA YA KISIASA MTAJISHUSHIA HESHIMA MLIYO NAYO KATIKA JAMII JESHI LETU SIYO JESHI LILOANZIA MSITUNI KUDAI NCHI NI JESHI LA WANANCHI LILOPO KWA MJIBU WAKATIBA.
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Unakuwa kama huijui nchi hii bhana, kila kitu kinaendeshwa kutokana na utashi
  wa mtu mmoja tu, ambaye katiba ya nchi yetu inampa mamlaka makubwa ya
  kufanya anachotaka na wala hawezi kushtakiwa.

  Lakini hata hivyo, hakuna marefu yasiyo na ncha
   
 3. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hayo ndo maisha ya kimjinimjini bana hukumsikia hata mtoto wake(riz1) alisema hivyo?pia ni matunda ya semina elekezi au hukuona top security ilikuwa dom? (Igp,mwamunyange)
   
 4. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimemsikia Kova leo akidai eti hajui Mbowe amepelekwa Arusha kwa usafiri gani!

  Naona hawa watu wameamua kudanganya kwa kila kitu wanachoulizwa kwa sababu wameshajijua kwamba huwa wanayofanya ni Madudu.

  Lakini natoa Angalizo; Wakiendelea hivi itafika siku atawezwa kuulizwa jina lake nalo Atalikana akidhani kwamba Anategwa.

  Kweli Serikalini tuna Mitutusa!
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Ulitaka iweje?
   
 6. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Ukisoma Mwananchi la leo, Juni 7, na hasa ukisoma between lines, na baadaye kufanya uchambuzi kidogo kuhusiana na masuala 'hit squard straregies', utagundua kuwa ni muda mrefu serikali imekuwa ikisubiri fursa hii (opportunity) ya kuwa na Mbowe katika reasonable distance. Bila shaka kulikuwa na lengo maalumu ili kukamilisha shughuli maalum.
  Serikali si wajinga kiasi hicho kwamba wasijue kuwa mahakamani Arusha hakukuwa na kesi yoyote.
  Wala tusidhani kuwa matumizi ya ndege ya jeshi, tena kwa siri kubwa, na usiku (na tayari jeshi lenyewe sasa linakanusha), yalikuwa ni out of oblivion.
  Tunaofahamu, bado hatujayasahau yaliyowapata akina:
  Kanali Shija,
  Mousa Memba,
  Horace Kolimba,
  Nyerere (poleni msiojua),
  Waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon, na wengineo.
  CDM waanze succession plan mapema. Aidha waanzishe na ku-train intelligence ya chama, vinginevyo wataona 2015 pamekuwa karibu sana.:majani7:
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Wewe nikipi umekiona naunaona mimi nilitaka iweje??
   
 8. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Uandishi wa namna hii unavutia hisia na kuwaacha wengi wakiwa na maswali na vuilizo! Kama unajua basi sema na wenzio wajue. Na ikizingatiwa jina unalotumia ni la kufikirika tu. Hata hapo bado huna UHURU?
   
Loading...