Jee hii ndio adhabu stahili kwa Wabunge wazomeaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee hii ndio adhabu stahili kwa Wabunge wazomeaji?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chakaza, Jun 6, 2011.

 1. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Wakuu kikao cha Bunge la bajeti ambacho ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu kinaanza sasa.

  Nimeongea na mdau mmoja yuko Dodoma na kaniambia watu wenye uchungu na yanayoendelea nchi hii wamejipanga kupambana na tabia ya wale Wabunge wenye tabia ya kutumia wingi wao kuzomea watoa hoja muhimu za utetezi wa Watanzania.

  Wa Dodoma wamejipanga nao kuwazomea Wabunge hao kila waendapo iwe kule Mnadani maili mbili waendapo kujichana kwa nyama choma au pale Chako ni chako kwenye matanuzi yao mpaka waelewe kuwa ujinga waufanyao Bungeni sio walichotumwa na wananchi.

  Jee wakuu hii itakuwa adhabu sahihi na inaweza kuwarekebisha wasaliti hao?
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Pumba hizoo.
   
 3. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Naam yaweza kuwa ni pumba lakini unaonaje hao Wabunge wanaofanya ujinga wa kuzomea hoja za msingi wataweza kuhimili nao kuzomewa mitaani na wananchi wa kawaida?
   
 4. o

  olng'ojine Senior Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nashawishika kukuuliza/ kukuomba utupe wewe mchele.
   
 5. m

  mwl JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 180
  Huyu ndio FaizaFoxy jamani badala ya kujibu hoja nae anazomea. Kwa kiswahili cha mwambao "anaambiwa kunya yeye anaharisha" mzoeeni.
   
 6. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nihoja nzuli tuwape nafasi kwavile tunashinda nao humu jf wanajuwa kira kinacho endelea ingawa hawa wenzetu niwagumu kubadilika hawataki kusimamia masilai ya watz wanataka kuwa upande ule wa mafisadi

  Tuwaombe wenzetu wadodoma kira aonekanapo mubunge anayeonekana hatetei hoja za watz au kuzomea mbunge & wabunge watetezi wetu wahoja za wanyonge hicho nikibali moja kwa mojo wanadodoma niharali yenu kuzomeya nahilo lisiishie dodoma popote wapitapo tuwazomee

  Iwee ni barabalani kwenye majukwa kira anapo onekana kwanini nauga hoja baba kama unamtukana mutoto we paka siku anaongea na wenzake akaanza kusema mimi baba yangu ni paka nani mwenyekosa? Nyoka hawezi zaliwa na njiwa mutoto anakuwa yupo sahihi

  Hao wabunge wanao zomea wenzao kisa hawaungwi hojaa zao nasisi tutawazomeya kwavile hawatetei masirai yetu wanateteya matumbo yao naunga hojaa asilimia 100 tuwazomee wasipo badilika
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Bado nauliza jee hii ni adhabu stahili kwao? Na jee itatusaidia?
   
 8. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kiongozi awapo jukwaani kuhutubia wanannchi wake kuonyesha isiya zao kuikubali hotuba yake humshangilia kwamakofu akinamama vigelegele na kuonyesha hawajamukubali miguno hutawara au kwakumheshim watu kuka kiwya

  Sasa sisi kuonyesha hatukubaliani navitendo vyao vyakihuni tuwazomee mtu mzima unapo zomewa razima ujisikie vibaya kwa mtu mwenye mshipa waufaham ninaimani watabadilika

  Tuziwasilishe hisiya zetu kwamba hatukubaliani naupuuzi wao kwa hii njiya ya kuwazomeya
   
 9. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BADO UKO KWENYE JOTO EEEH??
  tutakutembelea leo
   
 10. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Rahina!
   
 11. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Mambo vip FaizaMBWAAAAAAAAAAAAAAAAA............................
   
 12. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Mimi npo dodoma,iyo haitoshi,wengi tunaonesha nguvu zetu katika Jamvi,ila kimatendo mnatuangusha.
   
 13. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hii ni nzuri kama kweli itakuwa haina uhusiano na kutaka misifa kama alivofanya wenje siku zile na kituko alichofanya Lema cha kutaka wafunge milango wapigane. Kama itakuwa imetolewa hoja ambayo ina maslahi na mtanzania wakazomea hata mimi naunga mkono kuwa mzomeaji ashughulikiwe. na wabunge wetu wa upinzani isue ambazo ni za sifa zaidi waachane nazo, wao wagonge isue za kumsaidia mtanzania. kwa mfano wameombwa kwenye hili la posho waanze wao. Mimi naunga mkono kuwa posho zile wananchi tunaibiwa ziondolewe na tunaomba wabunge wa upinzani waoneshe mfano katika hilo, mbona hata ze magambaz wataona aibu kuzichukua?
   
 14. m

  msukwaa Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli unatakiwa kuolewa na nape... Mnaendana sana wote akili zenu mmeeka bond
   
Loading...