Hivi Katika Vipaumbele vifuatavyo kipi kiwe cha kwanza kurekebishwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Katika Vipaumbele vifuatavyo kipi kiwe cha kwanza kurekebishwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by silver25, Jun 7, 2011.

?

Kipi kipewe Kipaumbele Tanzania?

Poll closed Jul 7, 2011.
 1. Elimu

  5 vote(s)
  50.0%
 2. Afya

  2 vote(s)
  20.0%
 3. Miundombinu

  3 vote(s)
  30.0%
 4. Maliasili na Utalii

  0 vote(s)
  0.0%
 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Tanzania ingekuwa na Uchu wa Maendeleo, Nadhani wangeanza kurekebisha kitu kimopja kimoja, Kila Bajeti.

  Namaanisha Kama Barabara, Bajeti Yote inaenda kwenye Barabara Tanzania nzima, Kisha Wanamaliza habari za Barabara, Inakuja Bajeti nyingine, Labda Umeme Basi Tanzania nzima wanarekebisha Kero ya Umeme na Inaisha, kisha wanakuja Hospitali na Kadhaluika Hata Maisha ya Watanzania yataboreka na kuwa Imara zaidi, Lakini Unashiringi 700,000, Unataka uigawe kwa Elimu, Maji, miundombinu, Afya, haitoshi, na ndiyo maana tunafanya vitu visivyo na ubora..

  Kwanini basi tusikae chini na kufanya vitu vya kueleweka?
   
 2. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna Elimu, Labda ingeangaliwa ni elimu gani ipewe kipaumbele, Ya juu au ya chini,, na Kipaumbele chenyewe ni kuwapa Elimu ya kutosha Waalimu wa kuwafundisha watu hao wanaotaka kupat elimu, Kuna Elimu ya aina nyingi, Hata elimu ya Waandishi wa habari, Wataalamu wa Afya, Wakandalasi, Madaktari, Wasimamizi wa Fedha, Mahakimu na Mawakili, Wasimamizi wa kazi, Uongozi, Na mambo mengisana ambayo Yatamkomboa Mtanzania kutoka katika Umasikini.
   
Loading...