Nape na propaganda redioni

kisururu

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
331
93
Namsikiliza kiongozi wa CCM Nape, anaongea Clouds FM kuhusu posho za vikao kufutwa kaongea vizuri lakini tatizo ni pale alipokuwa anafunga maelezo yake " amani ya nchi tumeijenga kwa miaka 50 kwa gharama kubwa, msisikilize hoja taka mkaharibu amani na utulivu"

Mpuuzi huyo anafikiri amani ya tanzania imeletwa na CCM kwa gharama kubwa na Chadema wana hoja taka za kutaka kuharibi nchi.

Hivi kweli kijana kama huyu anaweza kua na akili mbovu namna hii au naye yuko nadani ya mafisadi wa CCM.
 
Nimemsikia Nape live on Jahazi clouds akisema SWALA LA KUKATWA POSHO wabunge LINAZUNGUMZIKA hakuna haja ya wabunge na wana CCM kupinga kila kitu kinachotolewa na wapinzani.
TUJADILI
 
Hivi bado watu wanamjadili Nape, mbona ilishakuwa concluded kwamba Nape amechanganyikiwa na kwamba hakuna haja ya kupoteza muda kumjadili mtu anaetakiwa akalazwe hospitali ya vichaa.
 
Sometime si haki kuingilia ajila za watu, Nape ameajiliwa kuongoza idara ya propaganda ccm, kwahiyo alikuwa anatimiza majukumu yake ya ajila.
 
Hivi bado watu wanamjadili Nape, mbona ilishakuwa concluded kwamba Nape amechanganyikiwa na kwamba hakuna haja ya kupoteza muda kumjadili mtu anaetakiwa akalazwe hospitali ya vichaa.

Huyu dogo amewashika pabaya sana cdm, kubalini tu
 
Talking about Nape, eti in jahazi la clouds! Kumsikiliza kibonde ni kama kuisikiliza radio Uhuru!
 
Huyu kijana ana tatizo kidogo kwenye akili yake...kimsingi mimi sijaona tofauti sana kati ya Nape na Makamba...wanakaribiana sana tena kwa ukaribu,the way wanavyowakilisha hoja zao,wanakurupuka sana nk....
 
Talking about Nape, eti in jahazi la clouds! Kumsikiliza kibonde ni kama kuisikiliza radio Uhuru!

ivi kibonde atarudia tena form four maana mwaka jana karisiti kaliwa kichwa,hana credit. Kumsikiliza uyu mtu bora nkasome kitabu cha how Europe underveloped afrika maana kinafanana sana na kile cha how ccm exploited Tanzanians! Nape,sina komenti kwako ila nimekufungia hoja zako mwaka mzima mpaka ujirekebishe,uache kuongea ongea ovyo ,yan bora makamba maana anaongea ujinga vichekesho sasa wewe huweki vichekesho!
 
Huyu nape ni bwana mdogo sana kwa CDM hamfikii hata Mlinzi wa CDM aliyeeko pale makao makuu ya CDM mlangoni kwa hoja, so huwezi kusema ametushika pabaya jombaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. CDM NI KAMA MVUA IKITAKA KUNYESHA INANYESHA TU
 
Chunguza shule aliyosoma, je aliosoma nao wanamjuaje? Ukipata majibu uta-evaluate na ku-judge vizuri juu ya mtu wa aina yake!
 
Huyu dogo anabwabwaja! eti vyama vya upinzani vitakufa! hivi anafikiria kuwa kutumia nini? Sasa nimeelewa kwa nini JF wamejaa hawa jamaa, NAPE anasema wazi kwamba anawatuma kukutana na vijana wenzao kwenye mitandao!
 
mtangazaji anaboa sana, yuko biased mno, anazuia watu wanaoisema vibaya ccm.

Nape naona amekubali ushauri wa Chadema wa kupunguza kodi kwenye mafuta ili kuwapunguzia watanzania ugumu wa maisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom