Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ciril, Jun 5, 2011.

 1. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Katibu wa chama cha Demokrasia Chaema bwana Willbrodi Slaa amesema wabunge wa Chadema hawataingia ktk vikao vya Bunge Kama Serikali haitomwachia mwenyekiti wa Chadema bwana Freeman Aikaeli Mbowe bila masharti yeyote magumu

  Sourse ITV habari 8:00pm
   
 2. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Jamani hii imekaaje kwa wanachadema wenzangu?
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Iko pouwa tu. Huwezi kuendelea kulitumikia bunge na wabakaji wa demokrasia wanao subiri kuitikia ndioooo huku kamanda akiwa lupango.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  khaaaa bongo noma kwa hiyo mh freeman anvuta bangi...lol!
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Safi sana, mheshimiwa dr Slaa huo ndio ukombozi, kama vipi wajiue kabisa ili wananchi wapate uwakilishi mzuri.
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  nasikia kasema mengi, si hayo tu uliyoandika. Mwenye taarifa kamili atuwekee hapa. Alizungumza pia uhalali wa amri ya mahakama huku hakimu alishapata mawasiliano ya kutofika kwa Mbowe na pia kuwepo kwa shinikizo kutoka ngazi za juu za serikali katika suala hili.
   
 7. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mbowe ni kiongozi wa wabunge tumia mfano rahisi hapo kazini kiongozi wako kasulubiwa bila utaratibu wewe utaendelea na kazi huku unalalamika au utachukua hatua?
   
 8. Manyenye

  Manyenye Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nakubali msimamo mbele kama tai jembe no anti democrasia viv. Chadema
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  dr tusikubali kuingizwa mkenge na magamba, wao wanajua bajeti hii ni bomu na pingamizi kubwa litatoka CDM, ziara za mikoani mojawapo ya ajenda kuu ilikuwa ni kuipinga bajeti hii kama itaonesha dalili za kumwelemea mwananchi wa chini sasa tusipoingia bungeni na bajeti ikapitishwa na magamba & co kama ilivyo mtakuwa mmewasaidia nini wananchi.

  KWA MARA YA KWANZA NAPINGANA VIKALI NA KAULI YA DR
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,858
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  nimechelewa kidogo news ya ITV sikuipata hii ya Rais wetu, nimekuta NAPE anasema gamba wamejivua sasa ni CCM Mpya, hivi huyu jamaa ana aklli kweli?
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hivi ninavyokwambia sijui kesho itakuwaje?
   
 12. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 692
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Naomba tusiwe tuna jibu hoja za wendawazimu hawa magamba
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wakaijadili bajet,this is serious kwakweli....wakaletre cgangamoto mjengonii
   
 14. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Jamaa anajua kabisa wananchi walishakistukia vizuri chama cha magamba sema pesa walizokula kuja ktk mkutano watadaiwa na t-shirt,kanga na kofia za bure watazikosa.
   
 15. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Sijui rais kikwete anafikiria nini ktk hali kama hii. Kama anataka kuondoka madarakan ni bora aende kimya kimya,lakini ktk hali ya kuleta uhasama kati yetu itamletea matata makubwa sana.
   
 16. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mkuu usijali kesho bora nikapotea ktk ulimwengu huu sbb binaadamu sio mlima useme ataishi milele wenye mioyo midogo msije
   
 17. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hata kama Mmbowe anakosa busara itumike la sivyo A-town hapatosha
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  usiwe na wasiwasi juu yakupitisha bejeti kwafitna dr analijua, iungemkonocdm
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,100
  Trophy Points: 280
  Chama Cha Magamba baada ya kushindwa katika kampeni zao za "kujivua gamba" sasa wamekuja na kamata kamata ya Viongozi wa juu wa CHADEMA ili kuwatisha na kuwadhalilisha lakini wakati huo huo wameshindwa kabisa kuwakamata mafisadi wakubwa wanaoipeleka nchi mrama.

  Inaelekea huu mkakati wa kuwadhalilisha Viongozi za juu umepata baraka za Viongozi wa juu wa chama cha magamba ndio maana bado wako kimya bila kutoa tamko lolote lile kuhusu kukamatwa kwa Mbowe. Inasikitisha sana kuona jinsi Mbowe anavyodhalilishwa na kumtisha kwa kosa ambalo si kubwa kiasi hicho ili tu kupumguza makali yake katika kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania katika nchi inayoongozwa na mafisadi.

  Hii amani ya kizandiki tuliyonayo ikishapotea basi itakuwa vigumu mno kuirudisha na hakuna wa kulaumiwa ila Chama Cha Magamba. Yaliyotokea Misri, Syria, Tunisia ni ushahidi tosha wa jinsi amani ya nchi inavyoweza kupotea kirahisi na maafa makubwa kutokea na ni kazi kubwa sana kuirudisha amani hiyo.
   
 20. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Upinge usipinge, CDM wawepo wasiwepo bajeti itapitishwa. Nakubaliana na Dr. na hapo itakuwa rahisi na tija kuwashitaki kwa wananchi.
   
Loading...