Mbowe kama gurdiola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe kama gurdiola

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 7, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Mara baada ya kufutwa kwa hati ya kukamatwa kwake na kuachiwa kwa dhamana,Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Mh.Freeman Aikaeli Mbowe alibebwa na kurushwarushwa juu kama Kocha wa Barcelona,Pep Gurdiola siku ya fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya.Hii ilitokea nje tu ya Viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana.Hii inaashiria nini?
   
 2. M

  MPG JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii inaamanisha kuwa anguko la CCM limetia,mana watu wa magamba wanafikiria kwa kutumia makamasi badala ya ubongo
   
Loading...