Hongera Simon Tyosela Diwani wa Urugu kwa kuhamia CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Simon Tyosela Diwani wa Urugu kwa kuhamia CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ACHEBE, Jun 6, 2011.

 1. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shamrashamra za kumpokea aliyekuwa Diwani wa Chadema kata ya Urughu, ndugu Simon Tyosela, katika viwanja Ulemo jimbo la Iramba Magharibi. Kiongozi huyo aliambatana na wanachama wengine wa Chadema ambao walipokelewa na Katibu wa NEC uchumi na fedha ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi Mhe. Mwigulu Nchemba.
   

  Attached Files:

 2. M

  Murrah Senior Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Your are not clear! Be More specific!!!!
   
 3. s

  siraji Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kumbe ilikuwa kweli siamini macho yangu.Halafu Diwani mwenyewe naona anafurahi kweli hata unaweza kuusoma moyo wake kuwa anajihisi anayo amani kurudi CCM.Nampongeza sana pamoja na wafuasi wake wote.Picha hizo zimependeza saaaaaaaaaaaaaana.Najua itawauma wanafiki ila ni maamuzi tu binafsi ameamua kuyachukua nasi tunaweza kufuata nyayo zake tukipenda.
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Angalia upande wa juu kulia hapo wewe usiwe zoba, jamaa kashawishiwa kwa pesa si maamuzi binafsi.

  Yani magamba msivokuwa na aibu mmemnunua jamaa na mnadhihirisha ufisadi wenu kwa kuonyesha hadharani bei yake, sh.10,000.00

  Kweli jamaa bei yake nyepesi sana, hata UPDP wangeweza kumnunua tu.

  [​IMG]
   
 5. L

  LYENJE Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila mwenye mtazamo wa mbali atakuwa anaweka mipango yake sawasawa kurudi CCM,Murrah sasa kiwekwe nini clear na specific kama huamini si nenda Iramba ukaone.Hongera Simon mana hutajutia uamuzi wako.Ng'ara CCM ng'ara ni wakati wa kung'ara zaidi watu wanahaha mpaka wanaanza kugomea sheria wanazodai wanazipigania kumbe ni kutafuta umaarufu wao binafsi,subirini moto uwawakie hapa tunachochea kuni tu.
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ok kwahiyo kutakuwa na Uchaguzi mpya wa Udiwani... tuone nani atashinda...

  Kwanini kuhamia Chama Cha CCM lazima Uvikwe Khanga na Upewe Shati? Sio Rushwa Hiyo?
   
 7. c

  chief m Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikwepo hiyo siku, kijana alikuwa nafuraha kurudi kundini baada ya upweke wa miezi nane bila kumwona hata balozi tu wa CHADEMA huko Urughu. Akieleza sababu za kurudi CCM, BW Tyosela alisema amekasirishwa na vitendo vya kutokujiheshimu kwa viongozi wa chama hicho akianzia na kutoka nje ya ukumbi wa bunge kwa wabunge wakati Rais wa nchi akilihutubia bunge, pia alisema amekasirishwa na vurugu na maandamano ya kila leo akisisitiza kwa machungu maandamano yaliogharimu maisha ya watu huku slaa akidai ni ya amani, pia alisema amekasirishwa na vitendo vya chadema kutokuheshimu sheria mpaka ya mahakama. Pia bwana Tyosela alisema alifikia uamuzi huo alipokaa vikao zaidi ya vitano vya ndani vya chama hicho mkoani singida ambavyo kati ya hivyo VYOTE HAVIKUWA NA AGENDA YA MAENDELEO ILA VILIKUWA VINAJADILI UHARIBIFU, VURUGU NA KUPINGA MAENDELEO, kitu anachosema kilimuudhi na kuona kuwepo ndani ya chama hicho ni kinyume na malezi aliyopata na kinyume cha malezi ya kizalendo ya watanzania.
   
 8. escober

  escober JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu siyo buku ten hiyo ni buku mbili. the man is so cheap to talk about
   
 9. c

  chief m Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana cha rushwa wala takrima ni mtu tu alihamasika kwa furaha zake akamtunza kama wafanyavyo wengine wengi kwa kitendo chake cha kishujaa. Mila zetu za kiafrica zinaruhusu mtu kutunzwa kwa maamuzi makubwa na ya busara.
   
 10. L

  LYENJE Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />wewe hao ni watu wanampongeza kwa kuona mbali.
   
 11. B

  Beethoven JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kafanya vema kuliko kuishi kwa unafiki bora awafuate wazalendo wenzake kina Rostam,Chenge et al.All in all siasa za kununulika mwisho wake ni sasa no more betrayers will enjoy undumilakuwili.
   
 12. L

  LYENJE Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Hujui hiyo ni yuniform na mabango ya matangazo wewe vipi,hizo si kama bendera ndugu yangu hata hivyo zinamvuto kuvaa unafikiri yangekuwa yale magwanda ya mgambo angevaa tuko kazini tunajua maana ya Marketing ndugu
   
 13. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Akamuulize Shitambala kule Mbeya sasa hiviyuko wapi. Naye alipokelewa kwa mbwembwe hivyohivyo tena na katapila na akina mwandosya siyo hivyo vidagaa. Halafu akaja kuonyeshwa nguvu ya umma wa kati wa maandamano ya chadema. Alivyo yaona ali-shrink akawa mdogo kuliko pilton.
   
 14. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha kenge wapukutike.

  msafara wa mamba huu jamani.
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  He is inviting a natural political death
   
 16. s

  siraji Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika CCM inatisha.Hii inaonyesha kuwa watanzania wameenda wanaifahamu CDM kuwa haiko serious kuwaletea maendeleo kazi malumbano yasiyoisha.Sisi wananchi tunachoka muda mwingine kila siku mala ohhhh! wabunge wametoka wamesusia Rais, utasikia maandamano nchi nzima, utasikia wabunge wa CDM wawekwa nadi huko Mara achilia mbali matusi na dharau zao.Sisi raia wema tungependa kuona baada ya uchaguzi nchi inakuwa shwari na vyama vyote vinashirikiana kujenga nchi yetu,Ingawa nina wasiwasi na baadhi ya vyama kama vinayo dhamira ya dhati ukilinganisha na vitendo vyao vya kuhujumu juhudi za serikali ya CCM na Rais Kikwete kutimiza ahadi zake kwa watanzania.Lakini watanzania tunaona na ndio maana hata Diwani Symon amerudi CCM ili ashiriki ipasavyo kujenga kata yake na taifa kwa ujumla.Maandamano Tanzania ni hujuma za uchumi wa taifa letu.
   
 17. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  Siraji ....Siraji ,...Siraji....Siraji, hapo atakuwa alikula ngapi?
   
 18. c

  chief m Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuhesabu maandamano ya mbay kama mafanikio ndio ufinyu wa mawazo na ni miongoni mwa mambo yaliyo mfanya atoke kwenye chama cha mapropaganda na maandamano hujafuatilia maelezo yake. Pia inaonekana hujui itifaki unasema kapokelewa na vidagaa, vidagaa? Mh Mwigulu ni mjumbe wa kamati kuu,Shitambala yuko mbeya na hekima tele na maisha saaafi, ulizia, anachokosa ni maandamano tu, amka!
   
 19. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  He will be forgotten in a month. Before you make these kinds of decision you have to ask yourself, where is Shitambala?, where in Tambwe Hiza?, where is Ngawaiya?, where is ... ?. The worse thing about this kind of decisions is that, you are going to be used like a candle, bringing light and shine to local CCM leaders like Nchemba, while you are diminishing to the ground. Nchemba et al would use the defection to strengthen his position as effective leader from home in the face of their national masters(fisadis) who gave them "Kula". The question for the defector to ask themselves, will perpetrators for the defection would be willing to let you take their posts as their praise you like a drunken King in the next election?, that is a question to be answered when the time arrives, they will fight you with all forces, visible and invisible forces when you want to compete with their welfare posts.

  Only Nincompoops will accept and play this type of politricks. CHADEMA is not about individuals, CHADEMA is about people's lost hopes for a long time, to defeat CHADEMA you need to bring back hopes and prosperity to the people. CCM Strategist doesn't get it, they think about headlines which always fades off once the papers are used to roll "Maandazi and Vitumbua" by a street vendors, but the things which always stick is people's minds is the inability to sustain the next meal. POVERTY and CORRUPTION is the MALIGNANCY for CCM's death NOT INDIVIDUALS like TYOSELA!
   
 20. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama walihamasika kiafrika kwanini walimtunza khanga za CCM na siyo nguo za aina zingine? Ina maana walia andaa vitu vya kumtunza ikiwemo hongo ya pesa! Naona magamba bado yameng'ang'ania mwili, rushwa ya takrima bado inaendelea! Aibu kwa CCM!
   
Loading...