ABEDNEGO
Senior Member
- Aug 20, 2009
- 109
- 30
Katizo la umeme mara kwa mara limetuingiza gharama kama wananchi binafsi na kama uchumi wa nchi .Sasa Mh.Mbunge wa Bumbuli waraka wako ulioutoa kwa Bunge na Raisi utaendelea kuusimamia ili wananchi tusiendelee kunyanyaswa na TANESCO?? http://mwananchi.co.tz/taarifamaalum/makamba_waraka.pdf:glasses-nerdy: