Bajeti ya Kenya yaizidi ya Tanzania kwa $5 billion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya Kenya yaizidi ya Tanzania kwa $5 billion

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngao One, Jun 7, 2011.

 1. N

  Ngao One Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kenya, inayonyimwa misaada na wafadhili na kusumbuliwa na matatizo ya ukabila, bado inaendelea kusonga mbele kimaendeleo kwa kasi kufananisha na Tanzania yenye amani tele na inayopewa misaada lukuki na wafadhili. Je, tumelogwa Watanzania? Tatizo letu ni nini?


   
 2. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hatuwezi kufanana. Hata mapacha hawafanani kila kitu.

  Kenya pamoja na kudidimizwa sana na ukabila hawajaonja joto ya jiwe kama Tanzania ilivyojikuta tangia 1979 wakati Nduli Idd Amin Dadaa alivyotuulia misingi ya uchumi wetu ambapo JKN akatuahidi tujifunge mikanda miezi 18 ambayo imegeuka 180 degrees pasipo kujijua. Wakati huo tukawa busy sana kuwa front line kuikomboa Afrika ingawa nao wametugeuka siku hizi. Kenya wanao mfumo wa kiuchumi wa kiutafutaji zaidi wakati Tanzania Uchumi wetu ni wa matanuzi zaidi.

  It is by no mistake I was born in Tanzania, lakini lazima tuwe wakweli kwamba viongozi wetu bado mdudu wa ukabila unawatekenya na ubinafsi unawafura. Bahati mbaya hatuna namna ya kuwafanya watuelewe kwamba hatutaki na wanatuumiza, maana wao hawajui bei ya nyanya sokoni, wanapelekewa tu, hata jamaa zao wakienda sokoni wanahakikisha mambo yanakuwa poa.

  Ndio maana watanzania wengi maofisini nao wamekata tamaa ya kufanya kazi zalishifu, wanasoma magazeti na kuangalia porn kwenye mitandao na au wako nje ya ofisi kwa per diem yenye kukufuru. Upatapo nafasi nawe utafanya hivyo tu, siwalaumu.

  Wa kulaumiwa ni mfumo wa utawala wetu ambao hata kama mkubwa anatembea uchi huruhusiwi kumwambia ukweli akavae nguo.
   
 3. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Babu Kenya haijanyimwa misaada, ni kujaribu kupunguza dependence ya donors ndio tunajaribu.
   
 4. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tutakufa njaa tukiwa tumekumbatia magamba!
  Tanzania yenye neema haitaletwa na wenye magamba wa sasa piga ua galagaza!
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Njoo kwangu ntakupa Tanzania yenye neema unayotaka mtotooooo mzuri !
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  And Kenya they don't have as much natural resources, arable land... on the other side we do have poor roads, poor Education, system of living and lot's of mini fisadis... shame on us...
   
 7. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  Nayo mawazo yako siyo mabaya ila tu kwa kuongezea unajua ule umbumbu wa hawa viongozi wetu na kusudi zao ila wao walijisahaulisha makusudi kurekebisha uchumi wa nchi hii kwani during 1980's Malaysia tulikuwa nao sawa kiuchumi iweje leo hii mtake kusema pia vita ya Uganda ilichangia wataka kuniambia hawa Malaysia hawkukumbwa na misukosuko ya kiuchumi kivyao na je si walikaaa chini na kulitizama taifa lao linakwenda wapi na wakajiwekea mikakati ya kuinua uchumi na wame weza sana tu

   
 8. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda kwa Tanzania bila CCM tunaweza kujilinganisha na nchi yoyote makini kama kenya na siyo hii ya akina, ridhiwani, nape, hussein,nchimbi, malima etc. In genetics, for improvements, when you exhoust gene pool una-out source gene from distant relatives.Hawa uwezo wao wa kufikiria ulishafikia mwisho. Labda wengine, tatizo wanarithiana. Tujaribu koo zingine wakuu.
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mbona Marekani alitoka Bush mkubwa akaingia Bush mtoto na mambo yakaenda. Kama ni movement za genes then tungeweza kuanalyse from this. Kikubwa hapa kwa Tanzania ni roho ya ubinafsi imetutawala..seen how much you will get out of it... badala ya how much our country will benefit from it..., inahitaji fikra imbadala..total overhaul!!!!!
   
Loading...