Naomba kufahamishwa

clemence

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
594
212
Wana Jamii napata shida kujua kazi za viongozi hawa naomba mnifahamishe kwa kunitofautishia majukumu yao.
1: Mkuu wa mkoa na Meya
2: Muu wa wilaya na Mkurugenzi wa wilaya
3: Afsa mtendaji kata na Diwani
4: Mwenyekiti wa kijiji
Nifahamishwe tafadhali,na pia tujadili kama kuna haja ya baadhi ya nafasi za kisiasa ziendelee kuwepo
 
Mkuu wa mkoa, Meya, Mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa wilaya, hawana kazi yoyote iliyowazi ya kiserikali bali wanafanya kazi kama makada wa CCM.
Katika ngazi ya katia viongozi hawa wanamajukumu mbalimbali ya kuisaida jamii hasa kutatua migogoro midogo midogo na kazi fulani fulani za kijiji.
Kwa upande wangu tuna haja ya kuwa na Afisa mtendaji wa kata, Diwani, Meya, na mwennyekiti wa kijiji, lakini hatuna kabisa haja ya mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom