Kamata kamata ya vviongozi wa cdm inawaleta pamoja wana cdm

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Kama CCM walifikiri kuwakamata viongozi wa CDM itasaidia kuchukiwa na wananchi kinyume chake wanachadema wamekuwa wamoja zaidi pamoja viongozi wao kuliko kabla. mfano mzuri kukamatwa kwa Mbowe na Zitto, kumehamasisha umoja ndani ya CDM, wabunge karibu wote walienda kumpokea Arusha, madiwani karibu wote wa mji wa Arusha, Hai, Moshi na miji ya karibu walienda Arusha kwenye tukio hilo.

Wengi waliofuatilia tukio hili waliona CDM wana umoja kuliko chama kingine Tz. Hata wasio wana CDM waliungana na CDM kuishangaa serikali kwa vituko vyake. Kauli za viongozi wa chadema zinaeleweka kuliko za viongozi wa CCM na serikali. Changoja hakueleweka ila Mbowe kaeleweka kwa wengi.
 
Ni kweli mpiganaji wao wanapesa Serikali ya CCM a.k.a MAGAMBA,sisi CHADEMA tuna Mungu,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA
 
Back
Top Bottom