Kinga ya Mbunge ni kwa wale wa CCM tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinga ya Mbunge ni kwa wale wa CCM tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtafiti Makini, Jun 7, 2011.

 1. M

  Mtafiti Makini Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu nimkuwa nikifuatilia kwa makini hili swala zima la kukamatwa wabunge wa Upinzani ningependa kufahamu kuwa wao hawana kinga kwa mujibu wa kanuni za bunge? kinga ni kwa wale wa CCM tu? kinachonichanganya zaidi ni kwa Spika na Naibu wake kuonekana kuwa na misimamo tofauti dhidi ya kinga ya mbunge. Ningeomba kupata mwongozo kwa wanaoelewa vizuri mambo ya sheria.
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pata ushauri kutoka kwa Mhe Mbowe, anayo majibu baada ya kupata somo la kutosha pale Central.
   
 3. escober

  escober JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe ni matafiti makini wa nini kama hilo nalo hulijui au ndio wale watafiti wa magamba kuwa jamii forums ni ya chadema.
   
 4. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Endelea kuchunguza utaujua ukweli
   
 5. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 803
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Double Standard!!
   
Loading...