NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
:becky:
Niliposikia kwa mara ya kwanza habari ya kukamatwa kwake kupitia VoA nilikuwa safarini na sikupata muda wa kutosha kutafakari....In short i was disappointed with him as my first impression was concerned....
Baada ya kufuatilia kwa karibu zaidi nimekuja kugundua kuwa lililotokea ni sehemu ya "njia" ya wapambanaji dhidi ya magandamizi ya Jamii..........na ukweli ni kuwa, ni sehemu ndogo tu ya safari hii
My message to Mbowe na wote walioko mstari wa mbele kuondoa unyonyaji wa "wakoloni weusi" kuwa safari bado ni ndefu.....
kama mnadhani mmepiga hatua, bado kabisa........Nitasubiri siku mtakayokula miaka gerezani kama Mzee Nelson "Madiba" Mandela kwa juhudi zenu za kupambana na "makaburu ya kijani" yaliyotanda kila kona ya nchi hii yakitafuna utajiri wetu
Kama kuna wanaodhani umeshikiliwa kwa "amri ya mahakama" they deadly wrong, it is all about what you are doing for the oppressed...........kama wanadhani ulikuwa unatafuta umaarufu it is simply bcs they canty think beyond "ukiritimba" uliojaa vichwani mwao..........sisi wana wa Tanzania tunasema "Please keep it rolling"