CV za Wabunge ziko wapi kwenye Tovuti ya Bunge?

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Bunge linaanza kikao chake cha bajeti tarehe 7 Juni 2011. Mabunge mawili yaliyopita (sina uhakika kabla ya hapo) C.V za wabunge zilikuwa zinapatikana kwenye tovuti ya Bunge sambamba na picha na majina yao.

Katika bunge hili kuna baadhi ya wabunge wachache ambao C.V zao zipo katika tovuti ya Bunge lakini idadi kubwa taarifa zao hazipo (no information)

Hili ni tatizo pale unapotaka kujua mbunge gani uwasiliane naye kuhusu hoja fulani unayotaka usaidizi wake kwani huna uhakika kama ataweza kuelewa na kuizungumzia bila kujua kiwango chake cha elimu na uzoefu wake katika hiyo hoja.

Wakati mwingine Mbunge anachangia hoja vizuri unashawishika kujua wasifu wake, au kinyume chake

Wakubwa wahusika wa hili jambo tusaidieni tafadhali
 
Unataka kuangalia ya nani? Vicent Nyerere?
 
Unataka kuangalia ya nani? Vicent Nyerere?

Mh. Vicent hajawahi kujidai kwamba yeye ni msomi. tunataka kujuwa wale DOCTORS walipata wapi doctorate zao na research topics zao zilikuwa nini? hayo tu.
 
Mh. Vicent hajawahi kujidai kwamba yeye ni msomi. tunataka kujuwa wale DOCTORS walipata wapi doctorate zao na research topics zao zilikuwa nini? hayo tu.

tunaombeni hiyo website na sisi tupitie
 
Sio kila mtu ana CV, vihiyo kibao, eg std 7, form 4 failures kibao unadhani hawa wana CV? Wapo viti maalum 102, hawa most sijui hata std 7 au form 4 wamesoma, wapo wapo tu, kutufilisi, hivi what is Special seats...!!?? I am sick of these useless seats, kupiga miayo,kulala, vikuku na mambo fulani ndio kazi yao, nitavunja keyboard sasa hivi nikisikia Special seats tena, aaarrrrrgggghhh..!!!
 
nawaomba wahusika wabadili hii foto,sio nzuri kwa wanaotembelea web yenu
 
Ukitaka C.V ya komba nenda kajiunge T.O.T, hakuna mbunge wa ccm mwenye c.v ya kueleweka, mamluki wamezidi!
 
mtorii 09:14 PM Today
nawaomba wahusika wabadili hii
foto,sio nzuri kwa wanaotembelea
web yenu
Attached: speaker.png (38.5 KB)

NDIO SURA YAKE ILIVYO, HANA UREMBO, C UNAJUA MBOZI WACHAWI WENGI TEH!
 
Dr. Kashilila and your ICT team please upload C.V za wabunge, kazi zetu zinakwama!
 
hapo kwenye Red haina majotro.....Cv zao ni majina yao hahaha

1. Uamuzi wa kutokupost c.v ni wa mbunge husika au ni wa utawala wa bunge
2. Kama hana elimu, c.v yake isipopostiwa ndo anaipata hiyo elimu?
3. Kuna njia nyingi za kuwa na tija siyo lazima ujue kusoma na kuandika au kiingereza. Ndiyo maana tunataka kujua ili kama ana mapungufu ya elimu tujue namna ya kuwasiliana naye
 
Dr. Kashilila and your ICT team please upload C.V za wabunge, kazi zetu zinakwama!
Yupo kwenye ugomvi wa Makundi si umesikia kuna Sitta vs Makinda miongoni mwa watumishi wa bunge? Watafanya kazi muda gani ?
 
Back
Top Bottom