Commissioner CHAGONJA: AN OBLIQUE STATEMENT

Mnwele

Senior Member
Feb 4, 2010
162
100
Umenena tumekusikia:
Baadhi ya sehemu na nukuu ulizokazia ni pale unaposema ANAYETAKA UONGOZI WA NCHI HII ASUBIRI HADI 2015....childish statement.
Entirely this is an oblique statement and it clearly shows the political inclination that you big gugs have.
Umejaribu kueleza namba ambavyo ungetegemea good conduct kutoka kwa mtu aliyesoma na Kiongozi mkuu...ulikuwa unamrefer Mbowe possibly... na ukaendelea kwamba you would expect such statement to have come/committed from a mere..normal and hopeless guy comingling within Kariakoo... thats your freedom of expression but coming to your own statement....ni kama vile ulikuwa unaruka kinyesi cha mtu na kukanyaga mkojo...the vice versa is true..
Unaposema watu wasubiri 2015 inaashiria namna unavyolink movement ya some political dons kama CHADEMA towards the dialy conducts ya serikali ambayo wewe unaitetea.
SIna hakika na level yako ya political science...najua umebobea sana katika public admistration and possibly some rhetoric theories of the rule of law, but kila mara ukiongea in public, you tends to let yourself in the lips of critic...basicaly uncounted critic ful of shame.
Unajua nini! just to give you some tips..nafahamu you are full aware of the functions of oppositional parties in any country run by rule of law. It is to paralyse the incumbent party for them to capitalise on their weaknesses and win the mass popularity ili come next round, the public turns on to them and grant the power to lead. Hiyo unaijua kabisa but to help you to live with example ni kwamba: In a similar stance, ni kama vile game ya Boxing, yes boxing. You may even ask Mr. Kova ambaye nasikia yeye ni Mlezi wa mchezo huu hapa Bongo. Kova anajua kanuni, mbinu, miiko na mambo mengine yanayofanyika ulingoni. Anyway one single tip inayotumiwa na mabondia wooote unaowajua ni kubackbite in unspotted points. Yaani Bondia anakuwa busy anapiga tumboni, mgongoni, mikononi na sehemu nyingine ambazo HAZINA POINT..they are not accountes either...Lengo ni Kudhoofisha mpinzani then akilegea ana-hit na kurecord point..thats it.
Mazungumzo yako ya Jazba mbele ya kadamnasi yana-akisi uficho wa tasirwa iliyoko nyuma ya Pazia, and always try to think big and big kwamba overtime--watz wanaanza kubadilika na wanaaccess independent sources of information than even wakati wewe unaanza kulitumikia Jeshi. Miaka imepita na Mambo yanabadilika .
Learn how to express, and make a brilliant rehearsal before you dare to come out!
people are watching...Tanzania is watching and "we" are watching.
Aluta Continua.
Kazi Njema
 
Huyo Afande nimeanza kumuona kwenye media wakati wa uchaguzi mwaka jana. amekuwa kila mara msemaji wa CCm hana balancing
speech anatoa kwa jazba hata alipokuwa Tarime issue polisi wameuwa raia akaanza kusema chanzo ni Chadema, kwani chadema wa asikari polisi? amekuwa msema ovyo.
 
Hivi ni watanzania wangapi wanajump bail? JE NA WAO HUPELEKWA MAHAKAMANI NA MIDEGE YA KIJESHI? na je wao nao hutolewa kauli na jeshi la Polisi kwa kufanya hivyo au ni special case kwa Mbowe?
 
Yani huyu mzee ni hovyoooo,kashindwa kuficha hisia zake kabisa
oohh!its a shame kuwa na makamanda kama hawa
 
yawezekana mbowe ni komandoo wanaogopa asitoroke!

wanatishika na Kombati , wanahisi wanaonana Field Marshal Fidel Castro . . .
Kifupi ccm hutetewa na wapuuzi sana ! Watetezi wao ni watu ambao IQ zao ni pungufu ya IQ ya mtoto wa 10years.
Yupo kagonja, Atakuja mzee mmoja wa jumuia fulani ya Kiislamu , atakuja Davutwa na zamani kidogo alikuwapo Mrema A. L.
Kwakua chama chao hutetewa na wajinga ! Hatii shaka kuwa Ccm na serikali yake ni kusanyiko la vilaza, wajinga na karunguyeye. . . Viva CHADEMA.
 
hivi huyu mzee ana level gani ya elimu? Coz anaongea kwa mafumbo ya kizamani huku akiwasaidia magamba si akubali tu polisi wametumika, yani anaficha na kupindisha ukweli tunaouona kweli huyu mzee hamnazo
 
hivi huyu mzee ana level gani ya elimu? Coz anaongea kwa mafumbo ya kizamani huku akiwasaidia magamba si akubali tu polisi wametumika, yani anaficha na kupindisha ukweli tunaouona kweli huyu mzee hamnazo

Ana bachelor ya arts in political science ya udsm..aliingia jeshi baada ya kumaliza chuo enzi hzo
 
Kwa jinsi alivyokuwa akizungumza kwa hasiara tena katika mkutano unaohusu madawa ya kulevya inashiria kuwa Jeshi la Polisi likkuw ana njama ya kuithibiti CDM lakini wakazidiwa nguvu na dalili na kuvunjika kwa amani kulikoanza kujitokeza. Kwani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ilipotoa amri ya kumkamata Fisadi Chenge mbona hatukusikia akisema lolote na wala Jeshi hilo halikustekeleza chochote?
 
ana bachelor ya arts in political science ya udsm..aliingia jeshi baada ya kumaliza chuo enzi hzo

huyu kada bado anakumbuka enzi ya jeshi kuwa sehemu ya chama na si chombo cha uma. Most of them were supposed to be part of political system b4 being commissioned ndio 7bu ya kuogopa kuwapa wasomi dot com vyeo
 
Chagonja anajikomba ili akombolewe, huenda ana ndoto ya uIGP. Tatizo mapolisi wengi ni vilaza.... Nilikuwa darasa moja undergraduate na baadhi ya mapolisi miaka ile kazi yao ilikuwa ni kuangalizia tu kwa style ya MIG na hao ndo wanapanda vyeo siku hizi jeshini na uozo wao kichwani.
 
Hivi ni watanzania wangapi wanajump bail? JE NA WAO HUPELEKWA MAHAKAMANI NA MIDEGE YA KIJESHI? na je wao nao hutolewa kauli na jeshi la Polisi kwa kufanya hivyo au ni special case kwa Mbowe?

Nimekupata hongera kutuvisha kofia ya uelewa PiiiiiiiiiiiiiiiiPooooooooooZi
 
Wana jf mbona mmesahau kwamba cp chagonja ni kada wa ccm toka zamani na ana kadi yake ya ccm vuta subira uone 2015 baada ya kustaaf tu atagombea ubunge kwa tiket ya gamba part,ivo hawez kuongea lolote lenye maana kuhusu chadema.
 
CHAGONJA, hana tofauti na polisi wengine, kwao akili ipo mikononi na kwenye ulimi kwaajili ya kutoa vitisho na mambo mengine ya hovyo hovyo
 
Ni aibu kubwa tena aibuuuu ya mwaka chagonja anahofu jinsi ya kulitunza tumbo lake kwahiyo lazima ajikombe kwa chama cha magamba, mnafiki mkubwa na katili wa kupindukia hajutii raia wanapokufa ilimradi mipango ya ccm iende sawa na yupo teyari kuua bila kuchoka ila angalizo kwake nguvu ya umma ni tishio kwa wanafiki kama yeye.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom