Makamu Mwenyekiti BAVICHA achiwa huru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu Mwenyekiti BAVICHA achiwa huru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Emils, Jun 7, 2011.

 1. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makamu mwenyekiti BAVICHA na vijana wengine waliokuwa wakishikiliwa na polisi wameachiwa huru kwa dhamana..Source: Mnyika kupitia fb.
   
 2. M

  MPG JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HoNGERA KWA WAPIGANAJI WA UKWELI NGUVU YA UMA IPO NYUMA YENU
   
 3. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wenye uwezo wa kuongoza waacheni tu waongoze; big up makamanda wetu na poleni sana kwa misukosuko
  msife moyo kwa kuwa lupango kwa siku 3, ndiyo garama ya uongozi
   
 4. b

  baraka boki Senior Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ni bora kufa kuliko kuishi umepiga magoti
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ni bora kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti!
   
 6. delabuta

  delabuta Senior Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni kwa misukosuko tuko pamoja msione tuko kimya mkajua hatufuatilii tunafauatilia sana na tunawasikiliza tu mnasemaje ss tuko pamoja poleni sana kwani yanamwisho.dalili zinatuonyesha
   
 7. Kidafani

  Kidafani Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  :majani7:Hongereni makamanda, hawataki kufikiri kama sio kushindwa kuelewa kua kuwashika ninyi ni kuwapunguzia wao mvuto kwa jamii na pia kuwakomaza ninyi kisiasa ili mchukue nafasi zao.
  VIJANA TAIFA LA LEO NA NGUVU YA MABADILIKO.:majani7:
   
 8. B

  Baba Clara Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongereni sana makamanda tuko nyuma yenu
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Ni bora kufa umelala kuliko kufa umesimama maana utaanguka
   
 10. Panga la Yesu

  Panga la Yesu JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big Up!
   
 11. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nyie ndio wapiganaji wa kweli!
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tutashinda!
   
Loading...