Zama za wakoloni kweli walitumia nguvu kazi ya wananchi na rasilimali za nchi kujipatia utajiri mkubwa na matokeo yake leo ulaya hawashikiki kwa kila kitu.utamaduni huo umerudi tanzania na afrika...
Written by mwamba // 21/06/2011 // Habari // 2 Comments
DAILY NEWS Reporter in Zanzibar,
THE 10th amendment of the Zanzibar constitution that led to the creation of Government of National Unity...
Katika uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha Kabiga tarafa ya msalala wilaya mpya ya nyang`hwale mkoa mpya wa Geita, kufuatia aliyekuwa mweyekiti wa kijiji kuchaguliwa kuwa diwani, umefanyika...
Ndugu zangu,
Hii habari nimeikuta gazeti la Mwananchi (21/June/2011). Hapa nahisi kuna kamchezo fulani.
Hela za MCC zimetoka USA (alipokuja Bush junior). Symbion ni ya USA (imepata baraka tele...
Yaani kwa mtazamo wangu 90% ya waheshimiwa wanapigania kuingia bungeni kwa minajili ya kujipatia/kuboresha maisha yao binafsi, hawana nia ya dhati kulikomboa taifa letu na umasikini uliokithiri...
By In2EastAfrica - Tue Jun 21, 10:07 pm
Mukama resigns as TSN Board Chairman
President Jakaya Kikwete has accepted the resignation of Mr Wilson Mukama from Chairmanship of Tanzania Standard...
WAKATI Wizara ya Maliasili na Utalii ikihaha kuwabeba Wazungu kwenye ugawaji vitalu vya uwindaji wa kitalii, suala hilo sasa limeelekezwa kwa Waziri Mkuu na wabunge ili waweze kuihoji Serikali juu...
Je, ulifahamu ya kuwa katika kutafuta jina la kuziunganisha nchi hizi majina kama vile Tanganzanziyikabar na Tangibar yalipendekezwa? Ikiwa ulifahamu ama la, soma taarifa zifuatazo ujikumbushe...
Kikwete kuporomoka umaarufu kutoka kuaminiwa na wapigakura 85% mpaka 61% tena kwa kuchakachua.
Dr. Slaa kushindwa uchaguzi kwa njia za mizengwe na kujizuia (kwa hekima) kuhamasisha vurugu licha ya...
Bajeti imepita na wabunge 81 wameipinga dhidi ya 234 kwa hesabu ya harakaharaka wabunge karibu wote wa upinzani wameungana kuipinga, hongera wabunge wetu naona huo ni mwanzo wa ushirikiano kwa...
Msimamo kati ya familia mbili maarufu katika historia ya taifa hili umekuwa tofauti ndani ya bunge la bajeti, baada ya Mh. Leticia Nyerere kupiga kura ya 'Hapana' huku binti wa marehemu Sokoine...
AKIHOJIWA NA GAZETI LA RAIA MWEMA LA JUNI 9-JUNE 14,2011. LISU ALISEMA;
".................nilikuwa mwana ccm wakati ule wa chama kimoja usingeweza kuingia chuo bila kujiunga na chama.mara baada...
Jana ktk Ukumbi wa Bajeti huko Mbezi katika Sherehe za Harusi Mh. G. Lema alifanya kitu ambacho ni nadra kufanywa ktk tasnia ya Siasa pale alipowakaribisha waalikwa wa harusi kujiunga na CHADEMA...
Siku 90 zilizo tangazwa CCM chama kinacho tawala nchini TZ kupia kwa katibu wa uenezi wa CCM zitaishia aidha ni;
Siku ambayo mapacha 3 wataachia zote ndani ya CCM.
Siku ambayo CCM itajinasibu...
Kuna viongozi walikuwepo Washington DC kutoka serikali ya JK kuomba Tanzania itolewe kwenye Black List ya madini ya USA. Congress iliweka hii list kwasababu madini mengi ya Diamond kutoka Congo...
Monday, 20 June 2011 19:22 newsroom
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
SAKATA la Meya wa Jiji la Arusha, limefikia tamati baada ya CHADEMA kutangaza kumtambua rasmi Meya wa Jiji hilo, Gaudance Lyimo...
Jamani dodoma kuna nini??katikati ya nchi, kama tulivyofundishwa tangu tupo skuli kwamba ndiyo makao makuu ya nji hii njema. Tuliambiwa na kuaminishwa kuwa hii ndiyo makao makuu ya nchi na wizara...
kwa kuwa pm anatetea posho, nawaomba wabunge wa chadema muwashe moto zaidi. pm ana nyumba dodoma amepewa na serikali na akiwa hapo yupo nyumbani. je analipwa per diem ya nini wakati hiyo ni posho...
Miaka kadhaa iliyopita serikali ya CCM iliaamua kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Kutoka DAR ES SALAAM na kuhamia DODOMA! Uamuzi huo ulifuatwa na hataua za utekelezaji, ikiwemo kujenga Ofisi za...