Bungeni: Majibu ya hoja za wabunge bajeti 2011/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni: Majibu ya hoja za wabunge bajeti 2011/2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edson Zephania, Jun 21, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anaanza naibu waziri wa fedha kujibu hoja za wabunge.
   
 2. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Leo hakuna kuuliza wanaoafiki waseme Ndiyo na wasioafiki waseme Siyo. Leo anaitwa mmoja mmoja kwa jina na anasema NDIYO au HAPANA. Hapa ndo tuwaangalie wawakilishi wa kweli wa wananchi na wanafiki!.
   
 3. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Serikali kamwe haitakopa kugharimia matumiz ya kawaida.
   
 4. M

  Magarinza Senior Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa ufupi tuwatofautishe MAGAMBA dhidi ya wabunge.
   
 5. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli kweli!
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Waziri wa fedha anawashukuru wananchi na wabunge kwaa kuiunga mkono budget kwa 100%
   
 7. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hotuba ya upinzani imekubaliana kwa kiasi kikubwa na bajeti ya serikali. Yale waliyotofautiana nao hayawezi kutekelezeka kutokana na hali ya uchumi kwa sasa.
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wamepataje asilimia mia moja? Kichekesho ni kwamba hata wabunge wa CCM walikua wakiunga mkono asilimia mia moja walikuwa wakiikosoa, kwa maeneo fulani kukosekana. This is controvesy
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,626
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  i hope ur jokin.. wananchi wepi hao anaowashukuru kwa kuunga mkono kwa asilimia 100?
   
 10. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu hao wa magamba ni wengi kuliko vyama vya upinzani, na kwa chama cha magamba wote itakuwa NDIYO and dont be surprised bajeti itapita kiulaini na mapungufu tuliyoyaona.
   
 11. k

  kibenya JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  makubaliano ndani ya vikao vyao vya ccm wanaleta bungeni eti ndo wabunge na wananchi tumeunga mkono nilivyosikia hivyo nimeishiwa imani kabisa na zile 10% zangu juu ya serikali
   
 12. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Wabunge wa chama cha magamba wamewakilisha wananchi wa majimbo yao.
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Kaka hayo maneno sijayatoa kinywani mwangu, yamenenwa toka kinywani mwa Ndg. Mstafa Mkulo, Waiziri wa Fedha. Nimenukuu
   
 14. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwenye Mahoteli makubwa: atakaekataa kupokea shilingi na kutaka kulipwa kwa dolla mteja atoe taarifa na hatua za kisheria kuchukuliwa hii ni kwa mTZ
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Waziri amesema ni marufuku kukataa kupokea pesa ya tanzania yaani TSHS kwa kutaka dollar. Ukikataa SHS unaripotiwa polisi ama hazina ili uchukuliwe hatua
   
 16. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Marekebisho ya kodi kwny mafuta ya dizel , kupunguza ushuru wa mafuta mazito na ya taa.
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Marekebisho ya ushuru kwenye diesel na mafuta ya taa.

  Kupunguza tozo kwenye bidhaa za mafuta:

  Diesel exercise duty inapunguzwa toka Tshs. 314 kwa lita hadi Tshs. 256 kwa lita ukiunganisha kupunguza tozo na duty jumla ya punguzo ni TShs. 325.5 kwa lita ya diesel lakini punguzo haianzi leo wala kesho itatangazwa baadaye.
   
 18. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kupunguza bei za mafuta kutapelekea kuongezeka kwa uzalishaji na hatimae uchumi kupanda.
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Kanuni za fuel bulky purchase ziko tayari kwa mchapaji na punde zitatolewa na mafuta kuagizwa in bulky. Hizi ni hatua za kupunguza bei ya mafuta.

  Mungu wangu umeme umeenda!!
   
 20. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Deni la taifa: serikali itaendelea kukopa kwa sbb bado tunakopesheka
   
Loading...