Jinsi viongozi wa tanzania walivyo/wanavyorudisha nyuma uchumi wa nchi

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Zama za wakoloni kweli walitumia nguvu kazi ya wananchi na rasilimali za nchi kujipatia utajiri mkubwa na matokeo yake leo ulaya hawashikiki kwa kila kitu.utamaduni huo umerudi tanzania na afrika kwa kuuza nchi kwa wawekezaji na kuandika mikataba ya kifisadi.bora yupi?
 
Bora Kikwete.
 
Back
Top Bottom