Tanzania imewekwa kwenye Black List ya Madini na USA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania imewekwa kwenye Black List ya Madini na USA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kamundu, Jun 21, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kuna viongozi walikuwepo Washington DC kutoka serikali ya JK kuomba Tanzania itolewe kwenye Black List ya madini ya USA. Congress iliweka hii list kwasababu madini mengi ya Diamond kutoka Congo yalikuwa yanapitia Tanzania kinyemela. Kama una Diamond zimetoka Tanzania sasa huwezi kuuza kwa kampuni ya marekani kihalali na bei ya chinichini ni ndogo sana. Mambo haya yanatokana na ufanisi mdogo wa serikali
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hata tuwekwe kwenye listi nyeusi wao tu.....haya madin hayana tija kwa watanzania.....labda kwa viongoz wa WATANZANIA
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na bado itaweka mpaka kwenye red list kutokana na unafiki wao...............nchi hii si wanafiki tu.
   
 4. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Sorry folks, this was a wrong entry!!!
   
 5. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunafaidika nazo nn wakati hata udongo wenyewe na madini yake wanaondoka nazo!kwangu mimi hata wangewekewa red+blue+k+!hainisaidii
   
 6. T

  Technology JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  source?
   
Loading...