Mchekechoni
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 279
- 19
Msimamo kati ya familia mbili maarufu katika historia ya taifa hili umekuwa tofauti ndani ya bunge la bajeti, baada ya Mh. Leticia Nyerere kupiga kura ya 'Hapana' huku binti wa marehemu Sokoine akipiga kura ya 'Ndio'. Hii ndio demokrasia ya kweli miongoni mwa kada ya wabunge wa viti maalum, hongereni wabunge wetu!