Wanakijiji waikataa ccm kwa vitendo , waipatia chadema dhamana ya kuongoza kijiji.

tumpale

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
200
35
Katika uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha Kabiga tarafa ya msalala wilaya mpya ya nyang`hwale mkoa mpya wa Geita, kufuatia aliyekuwa mweyekiti wa kijiji kuchaguliwa kuwa diwani, umefanyika uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya mwenyekiti, wagombea wawili wlijitokeza &nbsp;kwa tiketi ya ccm na chadema, mgombea wa chadema ameshinda kwa zaidi ya asilimia 20%. jambo la kuvutia zaidi ni hekaheka zilizokuwepo wakati wa kampeni baada ya diwani wa ccm kualika madiwani wenzake wawili wa ccm kutoka katika kata jirani ili kumpigia kampeni mgombea wa ccm nafasi ya uenyekiti kwa tiketi ya ccm, walichoambulia ni kipigo kikali kutoka kwa wananchi wasioutaka utawala dhalimu wa magamba. Hii inadhihirisha jinsi wananchi wa vijijini walivyoamka na kudhihirisha nguvu ya umma.<br>
 
hivi ndivyo ilikuwa hata mwaka jana kwenye uchaguzi mkuu, ila kila mtu anajua kilichotokea,
 
Asikudanganye mtu hakuna mwanakijiji yeyote anayeipenda magamba. Ni propaganda za magamba tu kuwa eti vijijini wanakubalika.
Hata kwa hiii hapa haiwezekani.......

View attachment 32437
 
wameshindwa kujivua magamba kwa vitendo, wananchi wanawavua polepole, hadi 2015 tunamalizia gamba kuu. peopleeeeeeeeee's ....................
 
Taratibu tu somo litaeleweka kwenye ngazi zote katika nchi hii.the wind of revolution is coming be ready.
 
Heko wanakijiji kwa kukataa kuendelea kutumiwa kwanza wana Geita Mungu alivyowajalia utajili munaishia kubabuliwa ngozi na sumu zinazowekwa kwenye maji
 
Katika uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha Kabiga tarafa ya msalala wilaya mpya ya nyang`hwale mkoa mpya wa Geita, kufuatia aliyekuwa mweyekiti wa kijiji kuchaguliwa kuwa diwani, umefanyika uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya mwenyekiti, wagombea wawili wlijitokeza &nbsp;kwa tiketi ya ccm na chadema, mgombea wa chadema ameshinda kwa zaidi ya asilimia 20%. jambo la kuvutia zaidi ni hekaheka zilizokuwepo wakati wa kampeni baada ya diwani wa ccm kualika madiwani wenzake wawili wa ccm kutoka katika kata jirani ili kumpigia kampeni mgombea wa ccm nafasi ya uenyekiti kwa tiketi ya ccm, walichoambulia ni kipigo kikali kutoka kwa wananchi wasioutaka utawala dhalimu wa magamba. Hii inadhihirisha jinsi wananchi wa vijijini walivyoamka na kudhihirisha nguvu ya umma.<br>

Bado kidogo kitaeleweka, Maana hata kuchakachua watashindwa.
 
Matatizo yote ya kuipenda CCM yako mijini siyo vijijini.. Vijijini wameamka kuliko maeneo ka Ilala huko na maeneo mengi tu ya Dar!
 
kanda ya ziwa noma nasikia bado kuna vijiji vingine kama sita hivi vilikuwa vinafanya uchaguzi. Kuna kamamanda mmoja wa cdm ameenda kipiga kampeni huko, ngoja nitawasiliana kujua matokeo kisha kuyamwaga hapa.
 
Huu ni wakati wa kuikataa sisiemu kwa vvitendo. Nilifurahi wakati wa kampeini mwaka jana kuna watu walikuwa wakipokea vitenge na T-shirt za CCM then wanachoma. Mpo hapo?
 
hivi mwenyekiti wao karudi ulaya maana anazurura mpka basi..usuje ukakuta this week anaenda TIMBUKTU
 
Watapigwa sana na wananchi wenye njaa kali na huduma duni za jamii!
Wananchi wamechoka! wanataka vitendo sio siasa!
 
Back
Top Bottom