Lema avuna wanachama ndani ya sherehe ya harusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema avuna wanachama ndani ya sherehe ya harusi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MVUMBUZI, Jun 19, 2011.

 1. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Jana ktk Ukumbi wa Bajeti huko Mbezi katika Sherehe za Harusi Mh. G. Lema alifanya kitu ambacho ni nadra kufanywa ktk tasnia ya Siasa pale alipowakaribisha waalikwa wa harusi kujiunga na CHADEMA. Ktk hali isiyokuwa ya kawaida mamia ya waalikwa waliitikia wito na kwenda mbele alipo Lema kupokea kadi za uanachama na kupanga mstari unaofanana na ule wa kutoa zawadi kwa maharusi.

  Huku CC-Magamba wakibaki na strategy za zamani za kuongeza wananchama CDM wanatumia kila opportunity kuhakikisha kwamba kila mtanzania anafunguliwa kutoka kongwa la utumwa wa ki-CC-Magamba wakati na mahali popote kwa kutumia mbinu ambazo itawachukua CC-Magamba karne kuzi- adapt.

  Hongera saaana G. Lema Keep it up na endelea kubiringisha gurudumu la CDM nasi tuko nyuma.
   
 2. P

  Peter bedson Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumuunge mkono popote kutangaza sera iwe sokoni, ktk daladala, bar, ktk sherehe kama mh. Lema hata vituo vya daladala saa ya ukombozi ni sasa
   
 3. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Tena sna tuwe naye bega kwa bega
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  freedom is coming tomorow.
  Mimi hapa na tembea na kadi za chadema mfukoni zisizo pungua kumi hivi, nikifika mahali napiga somo watu wakiitikia na wabatiza kwa jinala la CHADEMA NA PEOPLEPOWER AMEN.
   
 5. M

  Magarinza Senior Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Namkubali sana huyu kamanda katika harakati zake za kukijenga chama. Aliwahi nitembelea CBE Dodoma katika maandalinzia ya shindano la Mr & Miss CBE akawakomba washiriki wa mamiss wakajiunga na chama na ni makamanda wazuri mpaka leo. Lema ni noma kweli.
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ubatizo unatumia maji mengi au
   
 7. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ni wa kuunga mkono ili ifikapo 2013 CCM watangaze hawajajiandaa kuingiza chama kwenye uchaguzi
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Vipi maandamano kwenye harusi yalikuwepo?
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  ya natumia maji mengi. kwani vipi?
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  pole sana haya maji unakuwa umeyahifadhi wapi
   
 11. M

  MAURIN Senior Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapambano muda wote kila siku,nguvu ya uma haijawahi kushindwa sehemu yoyote,GodblessLema ni MPIGANAJI,MPAMBANAJI WA HAKI,THE FREEDOM IS COMING.
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kamanda Lema kiboko duh! Safi sana mkuu kwa taarifa!
   
 13. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Angalia uso ulivyokushuka, tangu lini maandamano yakafanyika ukumbini? Hizi laga za kufakamia asubuhi ndizo zinazowaharibia siku.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Swafi saaaana Peoplesssss Powerrrrrrrrrrrrrr, Magamba out!!!!!
   
 15. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  .....,hata msibani nako.! Mpaka kielewe hiyo 2015 tutoe elimu ya uraia kwa kila aliyeko mbele yetu.
   
 16. M

  Mulula New Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wana CC-Magamba kama kujivua gamba walizani wameoga, basi wameoga bila sabuni. Sisi na CDM yetu tunasema "RANGI MKONO MMOJA, WA PILI TUNANG'ARISHA"
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tena huko ndiko Chadema inachukulia wanachama wengi, ukizingatia wanakuwa na machungu ya kupotelewa na ndugu zao wanaouwawa na CCM!
   
 18. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Ndio mpango mzima hata kama ni mpaka wodini twende kazi. Hao si ndio wapiga na wataabikaji wa mtaa? Cdm mwendo mdundo fagia magamba, naungana na mdau mmoja. Mkono mmoja brash wa pili kiwi.... Tunang'arisha.
   
 19. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  CC-magamba nimeipenda sana hyo,ila lema anatakiwa kuwa makini kwani hawakawii kumbambikia kesi kwa kuitisha mkutano wa siasa bila kibari cha polisi
   
 20. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  ya kama wanapatikana huko tutawatafuta tu. Ccm kwa sasa wana staili yao ya hatari sana ya kusaka wanachama nishaijua na nitailezea one day.
   
Loading...