Alama za Nyakati: Mambo haya si ya Kubeza;Yanahitaji hekima ya Mungu kuyadadavua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alama za Nyakati: Mambo haya si ya Kubeza;Yanahitaji hekima ya Mungu kuyadadavua.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Jun 21, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Kikwete kuporomoka umaarufu kutoka kuaminiwa na wapigakura 85% mpaka 61% tena kwa kuchakachua.
  2. Dr. Slaa kushindwa uchaguzi kwa njia za mizengwe na kujizuia (kwa hekima) kuhamasisha vurugu licha ya ukweli kuwa anakubalika na Watanzania wengi.
  3. Dr. Slaa kutokuhudhuria kutangazwa matokeo ya uchaguzi
  4. Kikwete kukwepa kabisa kutaja neno Dr. Slaa katika hoja zake zote alizowahi kunukuliwa.
  5. Chadema kukubali kushirikiana na CCM kuunda uongozi halmashauri ya jiji la Arusha baada ya polisi kuuwa raia.
  6. Chadema kupinga kwa vitendo matumizi makubwa na ya anasa ya serikali.
  7. Kutiwa korokoroni kwa Tundu Lisu, wakati akiwatetea wananchi waliouwawa kikatili katika machimbo ya Nyamongo.
  Yako mengi. Lakini haya 7 yanatimia kwa idadi sawa na maajabu ya dunia. Wenye akili za theolojia wataelewa nilichoandika; wenye akili za kawaida kama mimi watapeleka hoja hii kwenye Chit Chat.
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Naingia kulala mkuu, wacha kwanza mungu anipe maono nitachangia hii topic asubuhi kwa nguvu za roho mtakatifu, na sio roho mtakavitu walionae ccm.
   
 3. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi tukifika 2015 basi mungu yu upande wetu,lakini suala la uchaguzi mkuu 100% ccm itaanzisha vurugu baada ya kushindwa! Cha msingi wenyefamilia na kila mtz aanze kuweka akiba! Maana wanaume wa shoka tukianza kupambana hapa mjini familia tuwe tushazichimbia chimbo!!
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Bhita ni bhita tata: Hakuna cha chimbo wala nini wote wawe sambamba
   
Loading...